screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Huo ushauri kampe Ommy DimpozHuyu Dogo anaharibu mziki wake....Anajiingiza kwenye vita vya Diamond na Ali kiba bila sababu yoyote.
Pengine Ana imani Wasafi watampa record label ila kitu anachokifanya hata wakina Harmonise,Raymond na Mavoko hawawezi kuthubutu kufanya.
Angeweza kufanya muziki wake bila kujiingiza kwenye malumbano.