Baraka Da Prince asapoti wimbo mpya wa Diamond, awashukia wanaompangia cha kuandika

Baraka Da Prince asapoti wimbo mpya wa Diamond, awashukia wanaompangia cha kuandika

Huyu Dogo anaharibu mziki wake....Anajiingiza kwenye vita vya Diamond na Ali kiba bila sababu yoyote.

Pengine Ana imani Wasafi watampa record label ila kitu anachokifanya hata wakina Harmonise,Raymond na Mavoko hawawezi kuthubutu kufanya.

Angeweza kufanya muziki wake bila kujiingiza kwenye malumbano.
Huo ushauri kampe Ommy Dimpoz
 
Hallelujah is a Hebrew word meaning “praise ye YAH (Yahweh).” Domo ameianza safari ya kuimba gospel mabwaku!!!!kiba kaimba peke yake unafananisha vp
mwacheni kiba aendelee kujiimarisha mikoani na afrika mashariki... mwenzie anaongeza kuimarisha ngome za afrika na nje ya afrika kwa spidi kubwa...

na hii kolabo ni jibu la ule mkataba na Universal Rec leb.
 
Ili jamaa nalichukia aise na weusi wake anajiona kawin sana maisha akati kakuta watu kwenye gemu sa kina AY , joh makini wangekua hivo ingekuwaje...ustaa unamsumbua uyo dogo
Ustaa unatakiwa iringe lakini ukiwa na uhakika wa kwamba unaweza na unafanya vyema kwenye soko la muziki.
 
Back
Top Bottom