Baraka da Prince kipaji kinachoangushwa na kiburi

Baraka da Prince kipaji kinachoangushwa na kiburi

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Huyu jamaa angetulia vizuri now angekuwa mbali mnoo.
Shida ni kiburi na kujiona yeye anajua kila kitu..

Kashagombana. Na wengi waliomtoa ikiwemo mlezi wake kid bway..huyu jamaa ndo aliemtoa baraka uko mwanza ...ila jamaa kwa nyodo akaondoka.

ule wimbo wa Ben Paul moyo mashine ilikuwa aimbe baraka .kidbway alimlipa godluck gozbert aandike ila wakazinguan na baraka.ikabid apewe Ben Paul.

Baraka ana majibu mabaya mnoo kwa mashabiki huko kwenye mitandao ya kijamii.
Haoni tabu kutukana shabiki

Mfano kuna shabiki alimuulza baraka lini utatoa tena nyimbo na ruby?

Jamaa akajibu ,haitokuja kutokea kamwe ...!

Wimbo wake huu mpya (nimekoma) umemrudisha kwenye chart.maana alikuwa kapotea ..

Baraka badilika kabla ujachelewa...
 
jamaa wakati antoka zile ngoma zake mbili nilizielewa sana, siachane nawe na ule wa kama yule, maana nilikuwa kwenye mahaba moto moto nikiwa home ndo zenyewe nikiwa kwenye ndinga na cruise ndo hizo hizo tu. Sema mbio za sakafuni huishia ukingoni maana hayakufika tamati...
 
Kwahiyo saivi humfatilii tena mkuu
 
Anguko lake alilitengeneza mwenyewe..alivyozinguana na AK ndo ukawa mwanzo wa mwisho wake.
Kwa sasa kabaki historia tu!!
Lakini yeye kwenda kwa alikiba ndo alijichimbia kaburi
 
Back
Top Bottom