Unauelewa mdogo sana kuhusu haya mambo..
ndo ubaya wa ku-copy mada na kuja kupost huku, unashindwa kujenga na kutetea hoja...
Umesema Baraka alijichimbia kaburi baada ya kua chini ya kiba, Ndo uelezee alijichimbiaje kaburi? Au umeropoka tu kwa ushabiki wa kiteam..
Rich Mavoko alikua chini ya Wcb label na Boss alikua Diamond.
Baraka alikua Rockstar Ambayo alikiba hakua Boss Wake na wala kazi zake zilikua azisimamiwi na kiba,
ni Kama Dimpoz Yupo chini ya Rockstar ila kazi zake hazisimamiwi na kiba na mbona kufanya vizuri kwa Dimpoz mpaka kuchukua tuzo ya kimataifa mbele ya Mond hamkupongeza kiba? Kama mnaanza kumlaumu kiba kuhusu baraka msifieni kuhusu Dimpoz...