Baraka da Prince kipaji kinachoangushwa na kiburi

Baraka da Prince kipaji kinachoangushwa na kiburi

Daah Hemed akuna mtu pale,,kuna manzi alikomenti kuwa yeye(Hemed)sio Handsome ila anatembelea nyota ya Gelly wa Rhymes 2,,Daah akamjibu"We mdada unataka nikuf**e ila siwezi maana mk+nd+ wako ni mchafu kauoshe kwanza",,Daah uyu jamaa anae majibu asee
Baraka majibu yake hayajafikia ya Yule mbongo fleva/bongo movie Hemmedy Ph.d hovyo sana huyo jamaa, aliwahi kuambiwa na shabiki wake huko mitandaoni' wewe ni shoga tu na yeye akajibu nimetoka kumpikia mume wetu niko tayari kitandani nasubiri aje nimpe doggy style,karibu.'

Duh mshabiki akaona isiwe soo akala kona chap chap.
 
Huyu jamaa angetulia vizuri now angekuwa mbali mnoo.
Shida ni kiburi na kujiona yeye anajua kila kitu..

Kashagombana. Na wengi waliomtoa ikiwemo mlezi wake kid bway..huyu jamaa ndo aliemtoa baraka uko mwanza ...ila jamaa kwa nyodo akaondoka.

ule wimbo wa Ben Paul moyo mashine ilikuwa aimbe baraka .kidbway alimlipa godluck gozbert aandike ila wakazinguan na baraka.ikabid apewe Ben Paul.

Baraka ana majibu mabaya mnoo kwa mashabiki huko kwenye mitandao ya kijamii.
Haoni tabu kutukana shabiki

Mfano kuna shabiki alimuulza baraka lini utatoa tena nyimbo na ruby?

Jamaa akajibu ,haitokuja kutokea kamwe ...!

Wimbo wake huu mpya (nimekoma) umemrudisha kwenye chart.maana alikuwa kapotea ..

Baraka badilika kabla ujachelewa...
Kashamalizia ile Nyumba aliyosema ni yake kwenye kipindi cha EATV UJENZI?
 
Nimegundua kitu kwamba sio kila MTU mzima ana akili wengine hawana wewe ni mfano wake..

Niko hapa toka wakati upo Instagram so hata kubishana. Na wewe ni kujishushia hadhi..

Kwanza onyesha sehemu niliposema kiba alikuwa anasimamia kazi za baraka .na alikuwa bosi wake ..nilisema kiba ni moja ya mabosi hapo rockstar najua hujui..
Na sio kwamba alikuwa anasimamia kazi za baraka.

Baraka alibweteka baada ya kutua apo rockstar tofaut na alipokuwepo royal nsyepa.lebel iliyomkuza ..na alipata tuzo ya msanii bora chipukizi akiwa hapo...

Alipoenda Rock star ni kama aliridhika na kuona kamaliza kazi..
Hii nayo ili apply kwa mavoko ni uvivu na kujiona umemaliza.kazi.

Lakini ukakimbilia eti " onyesha kiba alipohusika kuanguka kwa baraka"..

Kwani wapi nilisema kiba ndo alimuangusha baraka??

Walimu wako wana hasara sana kaka
Una bwabwaja tu na vipost vyako vya Ku-copy, uliataka kumuangushia lawama kiba, Punguza umsukule,.

Punguza ujuaji na Uongo wa hovyo hovyo na habari zako za kuokoteza, ni Vyema kama hujui kitu unakuja Pm unatuuliza wakongwe, siyo unatoka kwenye vipage uchwara huko unakuja kuropoka wakati wataalamu wa mambo tupo..
 
Eti Ali Kiba ni sawa na Best Nasso, jamaa ana majibu ya ki legend kwa kweli.
 
Una bwabwaja tu na vipost vyako vya Ku-copy, uliataka kumuangushia lawama kiba, Punguza umsukule,.

Punguza ujuaji na Uongo wa hovyo hovyo na habari zako za kuokoteza, ni Vyema kama hujui kitu unakuja Pm unatuuliza wakongwe, siyo unatoka kwenye vipage uchwara huko unakuja kuropoka wakati wataalamu wa mambo tupo..
Umekosa hoja tatizo lipo kwenye shule yako.
Eti mkongwe ..nakupuuza chawa wewe
 
Baraka majibu yake hayajafikia ya Yule mbongo fleva/bongo movie Hemmedy Ph.d hovyo sana huyo jamaa, aliwahi kuambiwa na shabiki wake huko mitandaoni' wewe ni shoga tu na yeye akajibu nimetoka kumpikia mume wetu niko tayari kitandani nasubiri aje nimpe doggy style,karibu.'

Duh mshabiki akaona isiwe soo akala kona chap chap.
Hilo jibu kiboko😫😫😫😫
 
Daah Hemed akuna mtu pale,,kuna manzi alikomenti kuwa yeye(Hemed)sio Handsome ila anatembelea nyota ya Gelly wa Rhymes 2,,Daah akamjibu"We mdada unataka nikuf**e ila siwezi maana mk+nd+ wako ni mchafu kauoshe kwanza",,Daah uyu jamaa anae majibu asee
Jibu konki sana

Dawa ya moto ni moto
 
Back
Top Bottom