Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
-
- #41
Hemed nae nati imelegeaBaraka majibu yake hayajafikia ya Yule mbongo fleva/bongo movie Hemmedy Ph.d hovyo sana huyo jamaa, aliwahi kuambiwa na shabiki wake huko mitandaoni' wewe ni shoga tu na yeye akajibu nimetoka kumpikia mume wetu niko tayari kitandani nasubiri aje nimpe doggy style,karibu.'
Duh mshabiki akaona isiwe soo akala kona chap chap.
Ongezea na Naogopa aliyoshirikishwa na Mirror,mule ndani dogo alitulia sana.1:Nimekoma
2:siwezi
3:siachani nawe
4:Acha niende 5:Nisamehe
6:Sometimes
7:Nivumilie ft Ruby
8:Jichunge
9:Sina ft Madee
Chalii anakipaji kinyama,,sema kiburi na hasira za kimbanga zinam'cost mjamaa
Yeah nikki mbish ndo kabisa yule jamaa kila kitu kwake anajua yupo juu siku zoteHuyo jamaa ni bonge la Talent, ila ana altitude kama za Nikki Mbishi, sasa kwa soko letu la muziki lilivyo bila kuwanyenyekea watu fulani huwezi kufanikiwa, jifanye bwege ufanikiwe
Hachelew kuntukanaAkiuona huu uzi lazima atakumind kinomaπ
Kipaji bila akili ni kazi bureAna nyimbo nzuri Nisamehe, siachi nae n.k na kuna alizoshirikishwa kafanya poa. Bora iwe na DJ RJ naipenda sana
Yule jamaa huwa anafeli sana, sijui huwa anaishije na watu huko aliko.Hachelew kuntukana
Maelezo Yako mbona hayaonyeshi hilo Kaburi? Baraka hakua chini ya kiba wala hakua kwenye label ya kiba..Hakukuwa na haja tena ya kwenda kwa Ali ikiwa alikuwa anafanya vizuri sana na label ile ile ilikuwa inamgharamikia vizuri .
Istoshe alipata mafanikio zaidi akiwa label hiyo..
Mafahari wawili hawakai zizi moja..
Rejea mavoko na chibu
Hiyo ngoma ya RJ ni nyokko na nusuAna nyimbo nzuri Nisamehe, siachi nae n.k na kuna alizoshirikishwa kafanya poa. Bora iwe na DJ RJ naipenda sana
Baraka alikuwa chawa tu wa Kiba [emoji38][emoji38]Maelezo Yako mbona hayaonyeshi hilo Kaburi? Baraka hakua chini ya kiba wala hakua kwenye label ya kiba..
Inshu ya mavoko kua chini ya Diamond ni tofauti kabisa na Kiba na Baraka,..
Aliniudhi sana alipo mfananisha alikiba na best Nassoro
Sasa unataka nikuoneshe kaburi?? Lipo uko makaburini.Maelezo Yako mbona hayaonyeshi hilo Kaburi? Baraka hakua chini ya kiba wala hakua kwenye label ya kiba..
Inshu ya mavoko kua chini ya Diamond ni tofauti kabisa na Kiba na Baraka,..
Unauelewa mdogo sana kuhusu haya mambo..Sasa unataka nikuoneshe kaburi?? Lipo uko makaburini.
Baraka alikuwa rockstar 5000 ambayo alikiba ni moja ya viongozi pale huoni kuwa ni bosi hiyo..
Elezea ishu ya mondi na mavoko kama unajua ili nikikukamate vizuri hapa
Kumbe unajua mkuu, sasa huo uchawa alitaka kuupeleka Wcb wakamtumia then Wakampotezea anakuja kustuka hana sapot kama aliyokua anaipata kwa team kiba,.Baraka alikuwa chawa tu wa Kiba [emoji38][emoji38]
Nimegundua kitu kwamba sio kila MTU mzima ana akili wengine hawana wewe ni mfano wake..Unauelewa mdogo sana kuhusu haya mambo..
ndo ubaya wa ku-copy mada na kuja kupost huku, unashindwa kujenga na kutetea hoja...
Umesema Baraka alijichimbia kaburi baada ya kua chini ya kiba, Ndo uelezee alijichimbiaje kaburi? Au umeropoka tu kwa ushabiki wa kiteam..
Rich Mavoko alikua chini ya Wcb label na Boss alikua Diamond.
Baraka alikua Rockstar Ambayo alikiba hakua Boss Wake na wala kazi zake zilikua azisimamiwi na kiba,
ni Kama Dimpoz Yupo chini ya Rockstar ila kazi zake hazisimamiwi na kiba na mbona kufanya vizuri kwa Dimpoz mpaka kuchukua tuzo ya kimataifa mbele ya Mond hamkupongeza kiba? Kama mnaanza kumlaumu kiba kuhusu baraka msifieni kuhusu Dimpoz...
πππBaraka majibu yake hayajafikia ya Yule mbongo fleva/bongo movie Hemmedy Ph.d hovyo sana huyo jamaa, aliwahi kuambiwa na shabiki wake huko mitandaoni' wewe ni shoga tu na yeye akajibu nimetoka kumpikia mume wetu niko tayari kitandani nasubiri aje nimpe doggy style,karibu.'
Duh mshabiki akaona isiwe soo akala kona chap chap.