Baraka Da Prince kuwa matatani

Mnataka kusema huyo Baraka mpk Sasa yuko chini ya ulinzi???

Ova
 
Sasa hao clouds ndo wamempa hayo madawa ameze?
 
clouds wanawaaribu vipi? mtu above 20 unaaribiwaje
 
Huo wimbo aliandikiwa na Goodluck Gosbert, na beat aligonga Goodluck Gosbert aka Lollpop (Kabla hajaanza kuimba nyimbo za dini), Badae Barack akazingua
Mbona Mkuu Naskia Beat Aligonga Yule Jamaa Kid Bway Sijui?
 
Huyu 'msukuma' tulimsihi alivyovamia mji kwa pupa hakutaka kusikia
 
Your numbers don't add up on the blow, that was ten years ago.

If you know, you know.

-Pusha T "If You Know You Know"
 
Anaharibiwa na clouds kivip
 
Huruma yangu kwa baraka iliondoka kwenye jembeka festival. Sadm mavoice ni dogo ambae alisota mtaani na Baraka de prince, kwenye jembeka festival sadm alimuomba Baraka, kwenye muda wake wa kutumbiza jukwaani ampe hata dk 1 aimbe watu wamjui Cha ajabu Baraka alikataa na muda wake wa kupanda jukwaani ulipofika akampandisha demu wake najma na kumtambulisha.
 
Baraka ana kibur na majivuno Sana,
 
Hii Habari!
Mbona mpaka Sasa haijathibitishwa
Kwenye media, zaidi ya humu jf tu
Ndiyo inandikwa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…