mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
HAIJAWAHI KUTOKEA MSANII ALIYETOKA KWENYE MIKONO YA KIDBWOY AKADUMU NDG YANGU! HUSEIN MACHOZI ALIJARIBU ILA KAISHA! KIDBWOY HANA MSANII ALIYEKO JUU KWA MUDA MREFU HIVYO HATA HUYU USITEGEMEE KITUIpo wazi kwa sasa muziki wa bongofleva ni wa Diamond Platinumz. Uku kukiwa na Kiba pembeni anayesimama kwa nguvu ya Diamond anae survive kwa ushindani aliotengeneza unaofanya watu wanamkumbuka wakiangalia kazi za Diamond.
Ila kila chenye mwanzo kina mwisho, Diamond anamalizia muziki wake ingawa anajitahidi amwachie kijiti msanii wake Harmonize lakini ni wazi hii game inaenda kuwa ya Baraka Da Prince.
Kwa ambao awajamstukia Baraka mumwangalie kwa makini huyu mfalme mpya wa Bongofleva, ana kila kitu kinachofanya awe staa wa hii game. Just watch his steps.
Si walizinguana na kid au yaliishaHAIJAWAHI KUTOKEA MSANII ALIYETOKA KWENYE MIKONO YA KIDBWOY AKADUMU NDG YANGU! HUSEIN MACHOZI ALIJARIBU ILA KAISHA! KIDBWOY HANA MSANII ALIYEKO JUU KWA MUDA MREFU HIVYO HATA HUYU USITEGEMEE KITU
Maneno yako yana ukweli ila sio 100% kwanza nyimbo hajui kutunga anapewa tu aimbe hiyo ndo tofauti kubwa ya BARAKAH na wasanii wenzake otherwise he can do well if will change
Acha wenge. Mziki hauujui. Wewe ni shabiki tu hujui ktu.
Tunza huu uzi baada ya miaka miwili utaniita nabii kumbe ni uwezo tu wa kugundua kipaji.Mkuu umelewa??
Diamond anamaliza muziki wake lini?..Kipindi Baraka anakuwa mfalme watu kama wakina Barnaba,Rich mavoko,Ben Pol,Belle9 n.k watakuwa wapi??...
Endelea kupiga magoti uenda maombi yako yatasikika..Diamond ana kama mwaka na nusu hivi kwenye music baada ya hapo ataanza kuwa wa kawaida. Hao wengine ulotaja watakuwa history tayari wengine ata kwenye rotation wameshaanza kuondoka. Barnabas atabaki kama mtungaji.
Endelea kupiga magoti uenda maombi yako yatasikika..