Baraka da Prince ndio kakabidhiwa kijiti rasmi, hakuna Diamond wala Kiba

Uyo baraka ndio nani? Sory tujuzane bhana.
 
Huyo dogo nimemsikiliza kidogo tu nimegundua hana rylics anachomeakea tu. Ukiongea kwenye Utunzi na mpangilio wa maneno kwenye nyimbo hao wengine including Kiba, Belle9, Ben Paul nk. Watakaa wasubiri Sana kwa Diamond. Anajua kucheza na maneno hao wengine ni kubana bana pua tu lakini to Be honest hamna kitu
 
Maneno yako yana ukweli ila sio 100% kwanza nyimbo hajui kutunga anapewa tu aimbe hiyo ndo tofauti kubwa ya BARAKAH na wasanii wenzake otherwise he can do well if will change
mbona hiyo sio issue kabisa. wasanii wangapi wakubwa hapa bongo wanatungiwa nyimbo zao na barnaba, na mbona bado wanaendelea kuwika ?!
 


Baraka hayupo Na Kid boi kwa sasa. Walizinguana Kid akafuta nyimbo zake zote mpaka YouTube nyimbo za zamani alifuta.[/QUOTE]

Kid hapo hajafanya poa.. Kwanini kid hadumu na wasanii, pia kwanini mwishoni hugeuka kuwa maadui zake?? Hapa kunatatizo lipo kwa kid.
 
HAIJAWAHI KUTOKEA MSANII ALIYETOKA KWENYE MIKONO YA KIDBWOY AKADUMU NDG YANGU! HUSEIN MACHOZI ALIJARIBU ILA KAISHA! KIDBWOY HANA MSANII ALIYEKO JUU KWA MUDA MREFU HIVYO HATA HUYU USITEGEMEE KITU

Kuna mapungufu yapo kwa kid...
 
mbona hiyo sio issue kabisa. wasanii wangapi wakubwa hapa bongo wanatungiwa nyimbo zao na barnaba, na mbona bado wanaendelea kuwika ?!
Hakuna msanii Tanzania aliyekuwa juu kwa mda mrefu kwa kutungiwa nyimbo labda njee ila Tanzania hapana na Barnabas anawatungia ma underground Mara nyingi Kama ruby hebu taja msanii mmoja aliyewahi kuwa juu kwa kutungiwa nyimbo!
 
Sijakataa ila it's m cost Sana hii system ya kutungiwa nyimbo
 
Mi nimekuelewa point yako ya msingi na uko sawa kabisa ila itachukua muda kiasi
 
Na kweli anakuja kwa kasi sana kwa mambo haya,ila kwenye muziki atasubiri sana.
 
Maneno yako yana ukweli ila sio 100% kwanza nyimbo hajui kutunga anapewa tu aimbe hiyo ndo tofauti kubwa ya BARAKAH na wasanii wenzake otherwise he can do well if will change
Kumfananisha Baraka na Diamond kimziki ni kutaka kumzika Baraka! Kama safari ndio kwanza Baraka ameanza!

Anauwezo wa kuimba na anajitahidi sana na ni msanii wa kumuangalia kwa sasa lakini si wa kufananishwa na Diamond!
 
yangu macho mkono na shavu langu..ukweli haujifichi tutaona muhimu uzima tuuu...
 
eti anamaliza.... baraka ni nani....? nauliza tu>>??
 
Anajua kuimba lakini hana potential ya kuwa kama Diamond, ni hayo tu!
 
Mond kama CCM, itakufa leo, itakufa kesho huku inazid kuyoyoma. Barakah afananishwe na Harmonize sio ICON.
 
labda mleta uzi nikupe experience moja,mara nyingi watu wanaofanyaga mapinduzi katika tasnia fulani huwa hawatabirikagi kabisa,yaani hutokea tu mtu fulani kaibuka from somewhere vuuuup!huyo hapo anatakeover the game.Maana yangu ni kwamba atayekuja kuchukua nafasi ya chibu mwaka wowote ule ni msanii ambaye hayupo katika mawazo ya watu kabisa,probably ni underground flani mwenye hasira sana tena yupo ndani ndani uko mwa tz,ila wakati ukifika dunia itamtambua but kwa hawa waliopo sasa bado wana safari ndefu sana kufollow footsteps za dai...kwa sababu huyo dai mwenyw anafanya mziki kama ndo kwanza anaanza kutoka,yani kila siku mpya(humchoki)...sasa cjui unaanzaje kumpiku kiumbe mwenye njaa na hasira kali mithili ya simba dume,kama chibu!
 
Kitu ambacho Diamond anacho wengine hawana ni utunzi. Anamashairi, lugha ya kuvutia na maneno yenye maana. Sio sijui ilikuwa jumapili nimekata matonge na nyama. Utakaa umchukie bure bila sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…