Baraka da Prince umeanza kuzingua na haya mashauzi ya kike

Yeye kasema hapendi muziki wa Killer. Tatizo liko wp? Kwani lazima kila mtu apende muziki wa Killer???!
 
kaongea ukweli sema ndo vile anamwalibia mwenzie kibiashara ajiulize yeye huyo lollipop akigoma kumwandikia nyimbo atahit mana akiandika nyimbo mwenyew azihit stayle yake mwenyew kila siku kulialia tu utachokwa na we wapo wakukusema kumaintain game ni kazi
 
Choice yake kwani ni lzm amkubali kisa wanatokea sehemu 1. Kila mtu ana uhuru wa nafsi kwanza hapo hajaonesha unafki wowote kwa kusema uwongo
 
Dah kweli mziki umenipita kushoto hata simjui jamaa huyu, kaimba wimbo gani hivi? Nahuyo anaemchukia kaimba wimbo gani pia?
 
Haha hater wamevamia huu Uzi kajipangeni barakah ni next level #nisamehe
 
Sasa kama haukubali muziki wa Young Killer mkitaka aseme anaukubali?
 
Katimiza haki yake ya kikatiba kwa kutoa ya moyoni na maoni yake hajawa mnafiki
 
huyu kaka mbona mashauzi kaanza muda
anajiskia sana afu anapenda mabifu
tangu nyimbo zake mbili cjui tatu watu tuzipokee ameanza nyodo sana jamaa.

Hizo nyimbo mlizipokea mkiwa stendi au bandarini?
 
Aina ya muziki unaofanywa na YOUNG KILLER ni mziki unaopendwa na watu wenye AKILI KUBWA..Je huyo kijana yuko na AKILI KUBWA?

Miziki inayopendwa na watu wenye uwezo wa kufikiria ni kama ya FID Q, SONGA, ONE THE INCREDIBLE na wenzake..pia WEUSI.
Umemsahau Roma mkuu na Stamina ndo mana wengi wao shule kichwani zipo
 
huyu si ndo yule alisemaga Diamond ndo ndudu gn.... aache nashauzi killer hamuwezi na izo nyimbo zake za kutungiwa
 
huyu si ndo yule alisemaga Diamond ndo ndudu gn.... aache nashauzi killer hamuwezi na izo nyimbo zake za kutungiwa
Dogo yuko vizuri sana mm namkubali.. Huyo mshamba anatafuta kiki tu na kudandia dandia mademu tu hana future na mziki,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…