Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,953
- 3,022
Huyu Bishoo Mnafiki sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa mkuuYawezekana ikiwa chuki binafsi baina Yao....!.!!!
huyu kaka mbona mashauzi kaanza muda
anajiskia sana afu anapenda mabifu
tangu nyimbo zake mbili cjui tatu watu tuzipokee ameanza nyodo sana jamaa.
Umemsahau Roma mkuu na Stamina ndo mana wengi wao shule kichwani zipoAina ya muziki unaofanywa na YOUNG KILLER ni mziki unaopendwa na watu wenye AKILI KUBWA..Je huyo kijana yuko na AKILI KUBWA?
Miziki inayopendwa na watu wenye uwezo wa kufikiria ni kama ya FID Q, SONGA, ONE THE INCREDIBLE na wenzake..pia WEUSI.
Akae kimya sio lazima huku ni kutafuta bifu na dogo maana killer akiskia bifu lishaanza.. Wasanii wa kibongo bhanaKaongea yake ya moyoni kwani kama hapendi muziki wake ajinafikishe???.
Yule mshamba hajui kwamba akisema kwenye redio anaskika na watanzania yeye anajua naongea na mtangazaji tu.. Ushamba kazisio kila ukweli usemwa popote
Dogo yuko vizuri sana mm namkubali.. Huyo mshamba anatafuta kiki tu na kudandia dandia mademu tu hana future na mziki,huyu si ndo yule alisemaga Diamond ndo ndudu gn.... aache nashauzi killer hamuwezi na izo nyimbo zake za kutungiwa