Baraka da Prince umeanza kuzingua na haya mashauzi ya kike

Baraka da Prince umeanza kuzingua na haya mashauzi ya kike

ilikuwaje hadi akazungumza hivo? kama aliulizwa sawa

Ni kawaida ya waandishi kuuliza maswali ya kiunaafiki Kisha haijalishi umejibu vipi lazima wafanye manipulation kutengeneza story. Na watu wasivyokuwa na subira wakisoma tittle Tu wanarukia kwenye judgement moja kwa moja. Wasanii na watu maarufu vichwa maji wengi Wako kwenye mabifu yasio na maana kisa hii hii internet.
 
Msanii anayejielewa anayakwepa hayo maswali ya kipuuzi, mfano hili swali common la 'we ni Team Alikiba au Diamond', mfano mda si mrefu nimeona mtangazaji anamchokonoa Godzilla amuongelee Billnas, mara anaulizia kuhusu wao kufanya collabo, uzuri Godzilla kastuka kakataa kuongelea
 
Yuko wapi mr nice ssa ivi??? ikiwa hata nusu ya umaarufu wa mr nice hajafikia leo hii anajifanya hapendi mziki wa killer, kwa nyimbo 3 tu au anatafuta KIKI kupitia kwa msodoki??

Ivi umeelewa alichosema uyo Baraka?mbona unakua mgumu wa kuelewa ivi ni dhambi kusema sipendi nyimbo/muziki wa fulani au wewe unadhani Msodoki anapenda kusikiliza nyimbo za kila msanii?mbona Ben Pol aliwahi kusema hadharani kua Ali Kiba ni overated,juzi Abdu Kiba kasema WCB wasanii wake wanabebwa na promo tu.
Tujifunze kuongea na kukubali UKWELI kama kitu haukipendi kiseme kuliko unafiki wa kusema pembeni,uyo Baraka mwenyewe wapo watu lundo hawaupendi muziki wake.
 
Sikulaumu mwenye thread maana watanzania tumezoea unafiki, sio wa kweli. Yani unataka aseme kuwa anaupenda mziki wake wakati si kweli.

Wabongo bwana, mtu kaongea ukweli mnasema kuwa ana jisikia, mlitaka aseme uongo sababu uongo Upo Kwenye damu wabongo
 
nimekosa hata cha kuandika, mana nakumbuka baraka aliwah shirikishwa kwnye wimbo flan na young killer kitambo wakiwa mwanza, na baraka aliimba upuuz tu mule lakn killer aliua. na walikua marafk sana nakusaidiana kimuziki.
 
Huyo baraka ni hausegeli wa mtu ama nani?

Mi Nipo Norway huku namfahamu Lady Jdee,Diamond ,alikuba,Temba & Chege,Christian Bella
 
nimekosa hata cha kuandika, mana nakumbuka baraka aliwah shirikishwa kwnye wimbo flan na young killer kitambo wakiwa mwanza, na baraka aliimba upuuz tu mule lakn killer aliua. na walikua marafk sana nakusaidiana kimuziki.
Basi inawezekana kuna kitu hakipoa sawa kati yao halafu huyu young killer atakuwa ana shida ana gombana na monagangster edu boy na baraka halafu naskia dogo anapiga sana gambe yule
 
Back
Top Bottom