mukulupapaa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 2,930
- 1,733
Sukuma na white totoz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyo ni wale wakina omera! ni mjaruo huyo dogoNgosha naona anajifunza kufyonza sio kiss ya makelele hiyo maana duuuuu utoto raha
BARAKA DE PRINCE AONYESHA JINSI GANI ANAMPENDA NAJMA!, ATOA VIDEO HII MTANDAOONI.
Mhh, bado anatoa matongotongo ila ajiangalie:Ngosha naona anajifunza kufyonza sio kiss ya makelele hiyo maana duuuuu utoto raha
You have said it all!!kuna wakati unajutia kuwa mzazi
ndo maana ndoa azidumu
BARAKA DE PRINCE AONYESHA JINSI GANI ANAMPENDA NAJMA!, ATOA VIDEO HII MTANDAOONI.
"Najma ndiyo mwanamke pekee ambaye nimeamua kwamba nitamuoa na ameshakubalika kwa wazazi wangu, hao wanaochonga waendelee tu hawatuzuii kufanya mambo yetu," amesema Barakah De Prince.
Mkuu nimesoma kwa shida sana nimejaribu kutranslate kwa Kifrance imegomaVijana wengi hawa Pesa kidogo na Umaarufu hapa nchini vinawatia wendawazimu na hata kupelekea kifo!so was like so was kiume!huwa nafuatilia habari zao yaani wengi wao maisha yao hayaeleweki in kupokezana wapenzi tu hakuna anaeoa au kuolewa no full vituko na mwisho wao hua ni mbaya sana,Chukua mfano tu huyu dogo harmonizer anatoka na wolper..wolper na ITU uzima wrote ule unatoka na dogo.basis karibia wrote hawafai kabisa!
Ni yeye huyo,nae kapita hapo.Mkuu uyo wa 3 ni phd,daah udadapoa in disguised