Baraka De Prince na Najma kitandani mahaba

Baraka De Prince na Najma kitandani mahaba

Katika hii dunia jamani nimejifunza jambo moja kubwa katika maisha, Mapenzi ni Maisha na Maisha ni Mapenzi..... ila ni sehemu inayohitaji nidhamu ya hali ya juu! Mapenzi ya maonesho mara nyingi hayana katikati wala mwisho mzuri.... kijana namshauri ajipange afanye mapenzi chumbani,sirini itamjengea heshima kubwa sana! Na huyo cheupe dawa shinikizo lake asifikiri kwakufanyiwa hivyo ndo anapendwa.... Wanaume ni wakuangiliwa kwa jicho la 3!
 
Vijana wengi hawa Pesa kidogo na Umaarufu hapa nchini vinawatia wendawazimu na hata kupelekea kifo!so was like so was kiume!huwa nafuatilia habari zao yaani wengi wao maisha yao hayaeleweki in kupokezana wapenzi tu hakuna anaeoa au kuolewa no full vituko na mwisho wao hua ni mbaya sana,Chukua mfano tu huyu dogo harmonizer anatoka na wolper..wolper na ITU uzima wrote ule unatoka na dogo.basis karibia wrote hawafai kabisa!
 
Magufuli pamoja na kuwa kabana hela ila sioni jitihada za vijana kupambana angalau tupige hatua! Ndiyo kwanza tunafanya ujinga kama huu ambao ni first class
 
BARAKA DE PRINCE AONYESHA JINSI GANI ANAMPENDA NAJMA!, ATOA VIDEO HII MTANDAOONI.

"Najma ndiyo mwanamke pekee ambaye nimeamua kwamba nitamuoa na ameshakubalika kwa wazazi wangu, hao wanaochonga waendelee tu hawatuzuii kufanya mambo yetu," amesema Barakah De Prince.​

"Najma ndiyo mwanamke pekee ambaye nimeamua kwamba nitamuoa na ameshakubalika kwa wazazi wangu, hao wanaochonga waendelee tu hawatuzuii kufanya mambo yetu," amesema Barakah De Prince.
 
Vijana wengi hawa Pesa kidogo na Umaarufu hapa nchini vinawatia wendawazimu na hata kupelekea kifo!so was like so was kiume!huwa nafuatilia habari zao yaani wengi wao maisha yao hayaeleweki in kupokezana wapenzi tu hakuna anaeoa au kuolewa no full vituko na mwisho wao hua ni mbaya sana,Chukua mfano tu huyu dogo harmonizer anatoka na wolper..wolper na ITU uzima wrote ule unatoka na dogo.basis karibia wrote hawafai kabisa!
Mkuu nimesoma kwa shida sana nimejaribu kutranslate kwa Kifrance imegoma
 
Kabyser alifanya la maana sana kujiondoa kwa huyu binti
 
Huwezi weka clip ya namna hii kwa mtuunayetegemea kumoa,subiri watu watamgegedea tu kwa hii vclip yake
 
Huwezi weka clip ya namna hii kwa mtuunayetegemea kumuoa,subiri watu watamgegedea tu kwa hii vclip yake
 
used ndo zinazodumu mwachen afyonze udenda ndo u star huo
 
Mwendokasi Umeanza Serikalini Kwenda Dodoma
Wakati Juzi Walizindua Mabasi Ya Haraka Ili Yatumike
Ghafla Dodima
Mara Sijui Flyover Usijekushangaa!!
Upanuzi Kipawa Mwl Nyerere International Airport
Mara
Daraja La Mwl

Sasa Mwendokasi Umehamia Kwa Hawa Wenzangu Na Mie Ambao Siku Wakuachana
Waende Tbc Wakatangaze
 
Back
Top Bottom