Baraka ft Ali kiba na video ya nisamehe

Ni official account mkuu...
Ni youtube vevo account ambayo imefunguliwa kwaajili ya videos za Baraka na Ali Kiba..!
Kuna Link nimeweka hapo juu, unaweza cheki..!
 
Nilishaitazama mapema sana!! Kama hata pamoja na ba kuitumia VEVO ndio mapokeo yako hivi!!! Inatia shaka sana kuwa na mikataba na makampuni haya
 
Nimeona wimbo mpya wa DJ Khaleed unaviewers mamilion within 3 days na wanasimamiwa nadhani na hawahawa VEVO.
 
Baraka cheuc ana laana ya kumkana lollypop alikuwa ana muandikia nyimbo
 
Hahahaa achaizo kama Ku upload nyimbo watu wana upload kila nyimbo itokayo,,,, sema tu ukweli Ngoma imebuma tena zaidi yakubuma
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] vevo wajinga sana
 
Kubuma kwa wimbo huo,kumemfanya "mwenye matobo" Ommy Dimpoz hasitishe kutoa wimbo wake aliotaka kutoa kabla ya hii,anaivizia Salome ipungue makali ndio atoe.NA WASANII KARIBIA WOTE WA BONGO FLEVA KWA SASA WANAWACHUKIA WCB KINOMA.
 
WCB dah
 
Nabado kuna jiwe la rich mavoko kama wamatobo akitoa..
 
Watu wako na SALOME wao bwana ........wanakimbizana...............
 
Maajabu ni hii nyimbo ya aje ya king kuzidiwa viewers na kidogo+salome wkt ilitoka mda kabla ya hizo nyimbo....if he is a king mbona iko hvo....nakujiita kote kipenz cha watu lkn bado watu wenyewe hawana mb za kuboost viewers wa nyimbo zake....
 
Kubuma kwa wimbo huo,kumemfanya "mwenye matobo" Ommy Dimpoz hasitishe kutoa wimbo wake aliotaka kutoa kabla ya hii,anaivizia Salome ipungue makali ndio atoe.NA WASANII KARIBIA WOTE WA BONGO FLEVA KWA SASA WANAWACHUKIA WCB KINOMA.
"Kama hauwezi kumshinda,ungana naye"
 
Kubuma kwa wimbo huo,kumemfanya "mwenye matobo" Ommy Dimpoz hasitishe kutoa wimbo wake aliotaka kutoa kabla ya hii,anaivizia Salome ipungue makali ndio atoe.NA WASANII KARIBIA WOTE WA BONGO FLEVA KWA SASA WANAWACHUKIA WCB KINOMA.
Acha 2 wachukie ikiwezekana wanye matikitiki. WCB ni kama maji,usipoyanywa bas utayaoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…