George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
- Thread starter
- #21
Ni official account mkuu...Tatizo kwa wimbo huu ni link official... kuna link tofauti za wimbo huu na zote zina viewers kati ya 50000 na 150000..... Inatakiwa Baraka ajipnge awe na account official ili pia imsaidie kuingiza pesa. Sina imani kuwa hata link uliyotumia kuutazama wimbo huo ni official
Ni youtube vevo account ambayo imefunguliwa kwaajili ya videos za Baraka na Ali Kiba..!
Kuna Link nimeweka hapo juu, unaweza cheki..!