Fundi kipara
Senior Member
- Oct 27, 2019
- 125
- 247
Kwa Umri Alonao Mpenja ni Dhambi Kubwa Sana Kuwaongopea Watoto wa Mama Kizimkazi Kwamba Sio Simba & Yanga ni Dhambi Kubwa Kama Kuzini Mchana wa Ramadan....!!
Hadithi ya Mpenja Kuwa ni Shabiki Ndakindaki wa Simba Niliambiwa na Jamaa Angu Geof Lea Ambae ni Mwanahabari wa Kituo cha EFM na Pia Yeye ni Shabiki wa Simba...!!
Kwa Utaratibu na Mwenendo wa Nchi ya Tanzania ni Asilimia Chache Sana Watu Kutoshabikia Simba & Yanga
Tuachane na Dhambi Hizo Kwani Ukijulikana Wewe ni Kolo Kuna Ubaya Gani....!!
Mapenzi ni Kama Kikohozi Tu....!!
Believe it or Not Baraka Addison Mpenja ni Kolo Ndakindaki