Kumbe anataka kumzunguka boss Tena na. Tv yake ale matangazo kwa boss anayempa mshaharaB. Mpenja hata kibarua chake pale Azam ni cha kusuasua kwasasa kama utakumbuka kuna kipindi alikaa muda mrefu bila kutangaza lakini Ukweli ni kwamba aliingia doa na Boss wake(Alisimamishwa kazi)ilikuwa kuhusu Mpenja TV.
Yaani bosi aligoma haiwezekani uwe na mpenja TV na Azam TV wakati maudhui ni yaleyale yanafanana. Sekeseke likaendelea mwisho wakakubaliana ni Side hustle lakini naona kabisa Boss alikubali kwa shingo upande ndomaana dili kama hizi zinampita.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Aongee na Abubakar LiongoHana urafiki na mabosi wa dstv.. hajui kuhonga..
Alipaswa Ongea na shelukindo ampe dili
Mkuuu HV unashida gani na mpenja Mbna kila wakati unampinga SanaWakuu hivi Mpenja anautsngazaji gani wa kutangaza WC,bora mara 100 G. Mzinga
Sent from my OPPO F1s using JamiiForums mobile app
Acha fitina jamaa Mbna Yuko vzr tuMkuu.
1. Baraka anajiita Mwamba wa Umalila.
Na si ulichokiandika wewe.
2. Baraka Mpenja ni MTANGAZAJI Very Locally yani level yake Bado ni NBC, AZAM federation, na Mapinduzi Cup.
3. MTANGAZAJI Bora kabisa wa MICHEZO Mikubwa,WC UEFA, CAF nk ni GHALIB MZINGA.
MZING NDIYE MTANGAZAJI BORA KABISA WA MICHEZO YA KIMATAIFA.
Mpenja ni WA hapa hapa.
Tena anaungaunga tu.
Sahih kbsaaAmtafute dada mmoja anaitwa SHUMBANA najua anapita humu na kusoma japo BARAKA SHELUKINDO ndiye top zaidi.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Licha kwa Azam TV hata hapa JF hawajawahi DStv kutoa shavu na kila wiki game zinakuwa zinatangazwa Live..!Ushaona DSTV katoa shavu kwa wafanyakazi wa Azam?
Mleta mada kuna mahali amemshandanisha na Gharib? Kitenge anajiumauma lakini anatangaza, kipi kitamshinda Mpenja? Chuki ndo sabuni ya roho yakoMkuu.
1. Baraka anajiita Mwamba wa Umalila.
Na si ulichokiandika wewe.
2. Baraka Mpenja ni MTANGAZAJI Very Locally yani level yake Bado ni NBC, AZAM federation, na Mapinduzi Cup.
3. MTANGAZAJI Bora kabisa wa MICHEZO Mikubwa,WC UEFA, CAF nk ni GHALIB MZINGA.
MZING NDIYE MTANGAZAJI BORA KABISA WA MICHEZO YA KIMATAIFA.
Mpenja ni WA hapa hapa.
Tena anaungaunga tu.