cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Watu wengi tunampenda mpenjaaa, mie ndo napenda vile anavyo chachua mchezooo, bas rohoo kwatuuu.Ukweli usemwe mpenja ana mchango wake kwenyr mpira hapa bongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wengi tunampenda mpenjaaa, mie ndo napenda vile anavyo chachua mchezooo, bas rohoo kwatuuu.Ukweli usemwe mpenja ana mchango wake kwenyr mpira hapa bongo
Hata Gharib amesoma UDSM km sikosei Mass com & Journalism.Acha wivu mkuu dah kwani ujui kuwa mpenja Ni msomi wa udsm kuliko hata huyu gharibu wenu
Mpenja amefanya mpira wa bongo uwe na ladha na kufatiliwa Mbna hamna roho mbya hvyo
Kijna wa watu han kosa analisha familia yake kwa kelele zake
Hata Kama DStv wamembania ila iko siku watamtafuta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahAzam tv na Dstv ni SAULI na NEW FORCE (washindani), wakati Dstv na hizo efm, wasafi, clouds ni sawa na SAULI na NANGA BOY hizi za MASAKI - SIMU 2000, hawana shida kabisa.
Ubinafsi tu wa boss mbona Millard ayo na akina shafii mabosi waelewaKumbe anataka kumzunguka boss Tena na. Tv yake ale matangazo kwa boss anayempa mshahara
James ni mchambuz sio mtangazajSijawahi kumkubali Baraka Mpenja kwenye utangazaji wake. Gharibu Mzinga[emoji1672][emoji1672] na kwa mbali kidogo James Samweli[emoji106]
Hawa ndio watanzania ninaowajua. Kuna mwingine nilimsoma mtandaoni anaomba jemeri afukuzwe kutangaza dstv. Yaani badala ya kumtaka arekebishe mapungufu, yeye anamsagia kunguni afukuzwe.
Kuna mwingine kwa nyakati tofauti nilimsoma mtandaoni anamtaka majizo awafukuze kazi wilson na jemedari kwa sababu ni maadui wa young african.