Baraka Mpenja hujapata 'connection' ya kutangaza Kombe la Dunia?

Baraka Mpenja hujapata 'connection' ya kutangaza Kombe la Dunia?

Baraka Mpenja ni mpayukaji na sio mtangazaji! DSTV unadhani kuna maneno ya kwenye khanga. Makelele ya kijinga jamaa hana uwezo huo kbs sema tumezoea kula vitu vibaya. DSTV hauwezi kusikia" huyu Dube sura ya upole kama mama yake au dada yake" au " macho yangu ama macho yake yanaona kama yangu" huyu ni nonprofossional kbs katika kutangaza hajui kutangaza. Sikiliza akina Martin Taylor wanavyotangaza mpira unafarijika kbs sijui huyu na yule sasa hivi yupo TBC1 Nazareti ni wapayukaji sana. Mpenja ajifunze kuwa mpira ni sayansi na sio kupayuka na kuropoka. Pale Azam siku zake zinahesabika hana maisha marefu pale.
 
Acha fitina jamaa Mbna Yuko vzr tu

Asalemaaa leykum dar es Salam baraka pia amenogesha mpira wetu upendwe

Kataa kubali jamaaa anajuwa pia Ni msomi
Unadhanj usomi ndio kujua kitu na elimu zenu hizi za kukariri GPA. Baraka sio level ya DSTV msikilize vyema lina katangaza mpira vizuri na kisayansi zaidi ya ujinga tu. Hana ubunifu kbs katika utangazaji wake.
 
Nimekuwa nikifatilia michuano hii mikubwa Duniani kwa lugha yetu ya Kiswahili.

Mimi shabiki wako kindakindaki sijakusikia kabisa ukiunguruma sauti ya radi, mwamba wa rumalila kutangaza mpira huu. Nimemsikia, Georg Ambagile Wasafi FM, Maulid Kitenge EFM, Ahmed Wasafi, Edgar Kibwana CMG.

Ila wewe sijakusikia kabisa, vipi umekosa connection au ndiyo tuseme mwajiri wako mkuu Azam Media hawajakupa ruhusa au wamekuonea gere tu?

Ingependeza sana upewe mechi zote za nusu fainali. [emoji1][emoji1]
Mwamba wa Rumalila××
Mwamba wa Umalila✓✓
 
Mkuu.

1. Baraka anajiita Mwamba wa Umalila.
Na si ulichokiandika wewe.

2. Baraka Mpenja ni MTANGAZAJI Very Locally yani level yake Bado ni NBC, AZAM federation, na Mapinduzi Cup.

3. MTANGAZAJI Bora kabisa wa MICHEZO Mikubwa,WC UEFA, CAF nk ni GHALIB MZINGA.

MZING NDIYE MTANGAZAJI BORA KABISA WA MICHEZO YA KIMATAIFA.

Mpenja ni WA hapa hapa.
Tena anaungaunga tu.

Well said[emoji1487][emoji1487]
 
Acha fitina jamaa Mbna Yuko vzr tu

Asalemaaa leykum dar es Salam baraka pia amenogesha mpira wetu upendwe

Kataa kubali jamaaa anajuwa pia Ni msomi

Msomi????[emoji23][emoji23][emoji23]hivi unamjua msimamizi wa chaneli za azam sport ??ni mzinga ,sa angekuwa msomi si angekuwa yeye ndo msimamizi
 
Baraka Mpenja ni mpayukaji na sio mtangazaji! DSTV unadhani kuna maneno ya kwenye khanga. Makelele ya kijinga jamaa hana uwezo huo kbs sema tumezoea kula vitu vibaya. DSTV hauwezi kusikia" huyu Dube sura ya upole kama mama yake au dada yake" au " macho yangu ama macho yake yanaona kama yangu" huyu ni nonprofossional kbs katika kutangaza hajui kutangaza. Sikiliza akina Martin Taylor wanavyotangaza mpira unafarijika kbs sijui huyu na yule sasa hivi yupo TBC1 Nazareti ni wapayukaji sana. Mpenja ajifunze kuwa mpira ni sayansi na sio kupayuka na kuropoka. Pale Azam siku zake zinahesabika hana maisha marefu pale.

Hana maisha marefu kwa nini???ko unamuombea mwenzio afukuzwe kazi then watoto wake utalisha wewe?acha hizo bhna..
 
Mkuu.

1. Baraka anajiita Mwamba wa Umalila.
Na si ulichokiandika wewe.

2. Baraka Mpenja ni MTANGAZAJI Very Locally yani level yake Bado ni NBC, AZAM federation, na Mapinduzi Cup.

3. MTANGAZAJI Bora kabisa wa MICHEZO Mikubwa,WC UEFA, CAF nk ni GHALIB MZINGA.

MZING NDIYE MTANGAZAJI BORA KABISA WA MICHEZO YA KIMATAIFA.

Mpenja ni WA hapa hapa.
Tena anaungaunga tu.
Naunga mkono hoja,Mzinga namwelewa sana

Huyo Mpenja hata kibongo bongo hafai nashangaa ambao huwa wanapenda utangazaj wake huwa nawaona kama watoto
 
Binafsi siamini katika utangazaji wa kufoka, uwanja huwa na hamasa zake hivyo, ni vema hamasa za uwanjani kusikika badala ya kutawaliwa na maneno. Hata hivyo, DSTV wana standards zao, nadhani ni suala la vigezo tu.
 
Mkuu.

1. Baraka anajiita Mwamba wa Umalila.
Na si ulichokiandika wewe.

2. Baraka Mpenja ni MTANGAZAJI Very Locally yani level yake Bado ni NBC, AZAM federation, na Mapinduzi Cup.

3. MTANGAZAJI Bora kabisa wa MICHEZO Mikubwa,WC UEFA, CAF nk ni GHALIB MZINGA.

MZING NDIYE MTANGAZAJI BORA KABISA WA MICHEZO YA KIMATAIFA.

Mpenja ni WA hapa hapa.
Tena anaungaunga tu.
I second you
 
Mleta mada kuna mahali amemshandanisha na Gharib? Kitenge anajiumauma lakini anatangaza, kipi kitamshinda Mpenja? Chuki ndo sabuni ya roho yako
Hapo sas mkuu Bora umeona Hilo mm sijamtaja Gharib popote ila nashanga jamaa anamuhusisha hapa

Dah Kuna watu wanna roho mbya kwa asili tu
Mpenja Ni mtangazaji wa kawida tu ila mm nimuliza kwnn hajapata connection ila jmaaa kaja na Gharib wake wivu tu dhid ya mpenja hakuna lolote
 
Unadhanj usomi ndio kujua kitu na elimu zenu hizi za kukariri GPA. Baraka sio level ya DSTV msikilize vyema lina katangaza mpira vizuri na kisayansi zaidi ya ujinga tu. Hana ubunifu kbs katika utangazaji wake.

Mimi niwe mkweli, baraka mpenja simkubali. Namkubali Gharib Mzinga anapotangaza. Ametulia na anatangaza mpira sio makelele na misemo mingi.
 
Mpenja ana ladha yake jamani.. Ubunifu anaouweka utatamani boli lisiishe..

Watangazaji wengine wanatangaza mpira kama wanasoma taarifa za habari.. mpira una burudani yake jamani

Halafu wanaomponda wala hawana hoja zaidi ya chuki tu
 
Back
Top Bottom