Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhanj usomi ndio kujua kitu na elimu zenu hizi za kukariri GPA. Baraka sio level ya DSTV msikilize vyema lina katangaza mpira vizuri na kisayansi zaidi ya ujinga tu. Hana ubunifu kbs katika utangazaji wake.Acha fitina jamaa Mbna Yuko vzr tu
Asalemaaa leykum dar es Salam baraka pia amenogesha mpira wetu upendwe
Kataa kubali jamaaa anajuwa pia Ni msomi
Mwamba wa Rumalila××Nimekuwa nikifatilia michuano hii mikubwa Duniani kwa lugha yetu ya Kiswahili.
Mimi shabiki wako kindakindaki sijakusikia kabisa ukiunguruma sauti ya radi, mwamba wa rumalila kutangaza mpira huu. Nimemsikia, Georg Ambagile Wasafi FM, Maulid Kitenge EFM, Ahmed Wasafi, Edgar Kibwana CMG.
Ila wewe sijakusikia kabisa, vipi umekosa connection au ndiyo tuseme mwajiri wako mkuu Azam Media hawajakupa ruhusa au wamekuonea gere tu?
Ingependeza sana upewe mechi zote za nusu fainali. [emoji1][emoji1]
Mkuu.
1. Baraka anajiita Mwamba wa Umalila.
Na si ulichokiandika wewe.
2. Baraka Mpenja ni MTANGAZAJI Very Locally yani level yake Bado ni NBC, AZAM federation, na Mapinduzi Cup.
3. MTANGAZAJI Bora kabisa wa MICHEZO Mikubwa,WC UEFA, CAF nk ni GHALIB MZINGA.
MZING NDIYE MTANGAZAJI BORA KABISA WA MICHEZO YA KIMATAIFA.
Mpenja ni WA hapa hapa.
Tena anaungaunga tu.
Mkuuu HV unashida gani na mpenja Mbna kila wakati unampinga Sana
Nimekuona maranying Sana ukimpiga fitina
Acha fitina jamaa Mbna Yuko vzr tu
Asalemaaa leykum dar es Salam baraka pia amenogesha mpira wetu upendwe
Kataa kubali jamaaa anajuwa pia Ni msomi
Baraka Mpenja ni mpayukaji na sio mtangazaji! DSTV unadhani kuna maneno ya kwenye khanga. Makelele ya kijinga jamaa hana uwezo huo kbs sema tumezoea kula vitu vibaya. DSTV hauwezi kusikia" huyu Dube sura ya upole kama mama yake au dada yake" au " macho yangu ama macho yake yanaona kama yangu" huyu ni nonprofossional kbs katika kutangaza hajui kutangaza. Sikiliza akina Martin Taylor wanavyotangaza mpira unafarijika kbs sijui huyu na yule sasa hivi yupo TBC1 Nazareti ni wapayukaji sana. Mpenja ajifunze kuwa mpira ni sayansi na sio kupayuka na kuropoka. Pale Azam siku zake zinahesabika hana maisha marefu pale.
Naunga mkono hoja,Mzinga namwelewa sanaMkuu.
1. Baraka anajiita Mwamba wa Umalila.
Na si ulichokiandika wewe.
2. Baraka Mpenja ni MTANGAZAJI Very Locally yani level yake Bado ni NBC, AZAM federation, na Mapinduzi Cup.
3. MTANGAZAJI Bora kabisa wa MICHEZO Mikubwa,WC UEFA, CAF nk ni GHALIB MZINGA.
MZING NDIYE MTANGAZAJI BORA KABISA WA MICHEZO YA KIMATAIFA.
Mpenja ni WA hapa hapa.
Tena anaungaunga tu.
Siwezi kumuombea majanga ila ukweli jamaa pale hawamtaki na ameshapishana na wenye kushika mpini wa kisu.Hana maisha marefu kwa nini???ko unamuombea mwenzio afukuzwe kazi then watoto wake utalisha wewe?acha hizo bhna..
I second youMkuu.
1. Baraka anajiita Mwamba wa Umalila.
Na si ulichokiandika wewe.
2. Baraka Mpenja ni MTANGAZAJI Very Locally yani level yake Bado ni NBC, AZAM federation, na Mapinduzi Cup.
3. MTANGAZAJI Bora kabisa wa MICHEZO Mikubwa,WC UEFA, CAF nk ni GHALIB MZINGA.
MZING NDIYE MTANGAZAJI BORA KABISA WA MICHEZO YA KIMATAIFA.
Mpenja ni WA hapa hapa.
Tena anaungaunga tu.
Hapo sas mkuu Bora umeona Hilo mm sijamtaja Gharib popote ila nashanga jamaa anamuhusisha hapaMleta mada kuna mahali amemshandanisha na Gharib? Kitenge anajiumauma lakini anatangaza, kipi kitamshinda Mpenja? Chuki ndo sabuni ya roho yako
Unadhanj usomi ndio kujua kitu na elimu zenu hizi za kukariri GPA. Baraka sio level ya DSTV msikilize vyema lina katangaza mpira vizuri na kisayansi zaidi ya ujinga tu. Hana ubunifu kbs katika utangazaji wake.