Baraka Mpenja hujapata 'connection' ya kutangaza Kombe la Dunia?

Ukweli usemwe mpenja ana mchango wake kwenyr mpira hapa bongo
Watu wengi tunampenda mpenjaaa, mie ndo napenda vile anavyo chachua mchezooo, bas rohoo kwatuuu.
 
Hata Gharib amesoma UDSM km sikosei Mass com & Journalism.
 
Azam tv na Dstv ni SAULI na NEW FORCE (washindani), wakati Dstv na hizo efm, wasafi, clouds ni sawa na SAULI na NANGA BOY hizi za MASAKI - SIMU 2000, hawana shida kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Yule anatangaza mpira kivyake vyake sasa apewe game za world cup akimtaja gakpo atasema nini
Uku bongo utaskia triple C mwamba wa Lusaka mzuzu umekolea nazi sjui daktar wa boli
 
Hawa ndio watanzania ninaowajua. Kuna mwingine nilimsoma mtandaoni anaomba jemeri afukuzwe kutangaza dstv. Yaani badala ya kumtaka arekebishe mapungufu, yeye anamsagia kunguni afukuzwe.

Kuna mwingine kwa nyakati tofauti nilimsoma mtandaoni anamtaka majizo awafukuze kazi wilson na jemedari kwa sababu ni maadui wa young african.
 
Sijawahi kumkubali Baraka Mpenja kwenye utangazaji wake. Gharibu Mzinga[emoji1672][emoji1672] na kwa mbali kidogo James Samweli[emoji106]
James ni mchambuz sio mtangazaj
 
Chuki, wivu na fitina ni maradhi yanayotesa watu wengi sana na bahati mbaya haya maradhi hayana dawa zaidi ya wewe mwenyewe..........

Kupendezwa na jambo kunategemea mtu na mtu kwa kuwa watu tumetofautiana lakini kutopendezwa na mtu haimaanishi kumchukia mtu........

Unaona mtu anaongea vibaya kuhusu mtu mpaka unajiuliza huyu ndugu ni haya haya mambo ya mpira au ana mengine juu ya huyu mtu.......

Ndugu zangu tusiishi kwa chuki kali namna hii tunazitesa nafsi zetu na kudhuru afya zetu.... unaweza kujiona kifua kinakubana na kichwa kuuma ukadhani unaumwa kumbe ni chuki uliyoibeba kifuani mwako dhidi ya watu ndio inakutesa..........

Kila mja na ridhiki yake kama wewe humpendi ni sawa lakini sio sawa kumfanyia fitina na majungu mwanadamu mwenzio kwenye kibarua chake......utayabeba vipi laana za machungu, hasara na mateso ya watu wanaomtegemea??

Mbona tunajipa dhima na dhambi kubwa sana juu yetu ambazo hatuwezi kuhimili.....

Tuacheni haya mambo jamani......
 

Afu mkuu hao jemedari na oruma ni yanga lia lia sasa kwanini useme ni maadui wa yanga??hawa jamaa HAWAMPENDI MANARA ILA SIO YANGA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…