Baraka Shamte aliyemkosoa Rais wa Zanzibar, ajeruhiwa, akufukuzwa uanachama CCM

CCM ni chama hatari dunia.​

 
Tuliwahi kusema Hussein Mwinyi hafai kuwa Rais kwani mbinafsi na yupo kibiashara zaidi
 
Hii ni dhambi kubwa na laana haitawaacha wahusika.
 
A
Kwa CCM hakuna ajabu kama Mwinyi alizabwa kibao akiwa na miaka 100+ nini kwa miaka 83 inashindikana?
ACha uongo, Mwinyi hakuzabwa na wana CCM, alizabwa na mtu wa dini yake kwenye kongamano la kidini na hakuwa na miaka 100, aliyemzaba ni mwanachama wa chadema.
 
Hussein Mwinyi alimuagiza Kanali mmoja anaitwa Msingiri (ni khanithi kama Mwinyi) ambae anaongoza kikosi cha hao mazombi wamteke Mzee shamte
 
Furaha yangu kuona ccm wakitafunana wao kwa wao✌️
 
Ingependeza Kama Shamte angelipinga mahakamani kuvuliwa uanachama wake na CCM unheard tuone akina Mgeta watatoa hukumu gani.
 
Nikimkumbuka Ben saa 8 machozi yananidondoka, kweli nimeamini CCM ni ileile ya wauaji.
Kuhusu ben saa 8 hapo ccm ni mavii ila naitoa kwenye kesi ya ben hapo kesi ni ya chadema na mbowe
 
Uamuzi huu umekuja baada ya Shamte kuzungumza mambo mbalimbali na video yake kusambaa huku moja ya kauli zake ikisema: “Ukitaka utajiri acha uongozi ukafanye biashara, miiko ya uongozi haifuatwi”.
 
Alisema Mh Lema, wakitumaliza sisi watawageukia na nyie, sasa ccm uwaneni kabisa ili mtoane kafara,
....hicho kibabu cha 83 years nadhan wangekiua tu, kiliwazodoa sana akina Maalim.
Wapemba wana msemo
''NGOMBE KAMPIGA MCHUNGA WAKE''
CCM imekuwa wakiandaa makundi ya uharamia ili kuwaadhibu wpinzani.
lakini leo wanamuadhibu bosi wao na Comrade mkongwe wa Fitna na aliyekuwa mpiga kampeni za Uraisi wa Mwinyi.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…