Baraka Shamte aliyemkosoa Rais wa Zanzibar, ajeruhiwa, akufukuzwa uanachama CCM

Baraka Shamte aliyemkosoa Rais wa Zanzibar, ajeruhiwa, akufukuzwa uanachama CCM

Kipindi cha uchaguzi huwa wanakuwa kitu kimoja
Wakati wa uchaguzi dola inashika hatamu. CCM inakaa pembeni kusubiri wenye nchi yao wafanye yao kisha wao waingie kuimba mapambio ya utukufu kwa mshika hatamu. CCM ni msukule tu unaotumiwa na wenye dola kutawala nchi.
 
Back
Top Bottom