Baraka za ndoa zachachamaa kwaya ya Kwetu Pazuri ya Rwanda

Baraka za ndoa zachachamaa kwaya ya Kwetu Pazuri ya Rwanda

Tobaaa....ndio ukatoka na zile tofali pale kati .lol

Nikaenda kuzi download, afu nikazileta hapa, afu nikakumbumbuka sis wangu mwenye masihara saaana! Nimecheka afu ndo ananiongezea, mbona mbavu zangu weeee!
 
ImageUploadedByJamiiForums1420397679.386550.jpg

Hapo ngoma droo mbona hata huyo mama mwenyewe kaenda age za kutosha tu
 
Nikaenda kuzi download, afu nikazileta hapa, afu nikakumbumbuka sis wangu mwenye masihara saaana! Nimecheka afu ndo ananiongezea, mbona mbavu zangu weeee!

Lol...angalia mbavu zisichomoke
 
Bi arusi kapendeza, kavaa kitamaduni. Nimeipenda.
 
Mwimbaji wa kwaya ya Ambassadors Christ kaolewa na mzungu mzee. RWANDA

Kwanini ni nadra kuona mzungu kijana kaoa Muafrica?, je ni dharau?



10869590_336259006578561_8571592743588260331_o.jpg


10869546_336259033245225_184591435050721580_o.jpg


10872735_336259083245220_2858900295499185051_o.jpg



wezi December 2014 utakuwa wa kukumbukwa kwa kwaya maarufu Afrika mashariki na kati ya Ambassadors of Christ kutoka kanisa la Sabato Remera Kigali nchini Rwanda, baada ya kushuhudia waimbaji wake wakongwe wakifunga pingu za maisha kila mtu kwa wakati wake.

Aliyefungua dimba kwa mwezi Disemba 7 ni mwimbishaji wa nyimbo nyingi za kwaya hiyo kijana Jimmy Bizimungu aliyefunga ndoa na mpenziwe na aliyefunga mwaka ni mwanadada Pepe Patience aliyefunga ndoa na mpenzi wake aitwaye Webb (mzungu). Harusi zote zilifanyika jijini Kigali nchini Rwanda huku kwaya ya Kwetu pazuri ikishiriki bega kwa bega na maharusi hao.
 
Kwa kuangalia tu huyo jamaa yuko kwenye early 50s au late 40s. Anyway uzee ni how you feel yourself not age.
 
Wanawake wa kafrica njaa kali, wakiona ngozi nyeupe lazima aingie mkenge, ukiwa na pesa hata ukiwa ICU unakubalika

mapenzi hayachagui umri wazungu wangapi wanaoana na wamepishana umri sana........ eeeh waafrika kwa kujidharau bwana ngoja mimi na kikongwe changu nitafunga nacho ndoa ... muongeee mpaka midomo iende upande.... mapenzi na njaa amna
 
Acheni Bhana hana uzee wowote, Mzungu atajenga ukweni, Mzungu atamjaali mkewe na mashemeji, Mzungu atatunza familia, Mzungu ata zaa kamoja au 2 bas !! Mzungu Jembe kwa mkoa husika !! HONGERA ...hongera

@miss chagga Gambamala Nkobe

hongera sana binti wa Kinyarwanda umepata mume ila mimi kama mu imani yako sda nimwkwazwa na jinsi ulivyovaa shanga na mkufu sisi wasabato mbona hatuna hayo mambo?
hilo tu ndo limenikwza kwako ila kwa kuem kwamba huyu mzungu nizee laah wkuone wv mwagu
hongeasn
 
Mlitaka aolewe na nani sasa wakati mwanaume aliempata na akamtangazia ndoa ni huyo? hongera zao kwa kuamua kuacha kuzini na kufanya tendo la ndoa.
 
Back
Top Bottom