spade4spade
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,207
- 2,156
Hahaha.....but tofali ni user name...usikondeee..jina lina maana yake hilo
Duh! Nimefikiria nikachekaje! Afu nikawa nachora aina ya mtu mwenyewe alivyo kichwani kwangu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha.....but tofali ni user name...usikondeee..jina lina maana yake hilo
Duh! Nimefikiria nikachekaje! Afu nikawa nachora aina ya mtu mwenyewe alivyo kichwani kwangu!
Tobaaa....ndio ukatoka na zile tofali pale kati .lol
Nikaenda kuzi download, afu nikazileta hapa, afu nikakumbumbuka sis wangu mwenye masihara saaana! Nimecheka afu ndo ananiongezea, mbona mbavu zangu weeee!
Masikini mwimba kwaya kaolewa na mzungu mla tigo!
Lol...angalia mbavu zisichomoke
Niruhusu nichore kwenye kompyuta yangu afu nikutumia pm aina ya mtu anayefikiriwa kuwa tofali pse!
mapenzi mazuri Mungu alinde ndoa yao
Wanawake wa kafrica njaa kali, wakiona ngozi nyeupe lazima aingie mkenge, ukiwa na pesa hata ukiwa ICU unakubalika