Barakadarprince rudi shule.Ya uislamu yanakujaje?

Mbona Nas mbona alishafanya kitambo.Sema Mimi sio mshabiki wa blasphemous.
 
Kwani ninini alichokosea hapo?unaona alichokifanya huyo juha hapo juu ni sawa sio,watu wamechora vikatuni vyao huko Ufaransa bongo mmeandamana wenzenu waarabu wameua watu leo useme alichokosema jamaa hapo juu ni uongo?u must be kidding dude.
 
Mbona Nas mbona alishafanya kitambo.Sema Mimi sio mshabiki wa blasphemous.
Nas alifanya ndiyo but kilichosababisha akapost hivyo ni hayo maneno yaliyoandikwa hapo kwenye kibao.
 
Again, sijaona offence yoyote kwa alichofanya Eric Omondi. Hapo hakuwa na lengo la kuchekesha but kufikisha ujumbe kwa Wakristo wenzake.
 
Huu uzi utafungwa sio muda
 
Kimtu kama hiki utakuta kanajitutumua kweli kweli kuhisi kwamba kanamtetea Yesu..

Ukija kuchunguza matendo yake ni zaidi ya kejeli anazofikiri zimefanyika na huyo Omondi.

Kama husomi biblia ni rahisi sana kumlaumu Omondi kwasababu huwezi kujua yesu alisulubiwa katikati ya wezi wawili.. Mwizi aliyesamehewa ndio huyo anayeigizwa na Omondi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…