Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Hiyo photo mtajuana Eric omond mwenyewe.
Sasa haya uislamu yanakujaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu acha utani Allah si wa waislamu peke yao bali ni Ulimwengu mzima,vyenye uhai na visivyo na uhai, unavyoviona na usivyoviona.Huyo Allah mawe yanamuogopa na kunyenyekea naye kaumba kila kitu.Waislam tunamtetea Allah hadi kwa panga na kujilipua.
Vitu vingine baraka angekuwa anavipotezea tu!
Nas alifanya ndiyo but kilichosababisha akapost hivyo ni hayo maneno yaliyoandikwa hapo kwenye kibao.Mbona Nas mbona alishafanya kitambo.Sema Mimi sio mshabiki wa blasphemous.
Humkumbuki mwizi aliyesamehewa na Yesu msalabani?Nas alifanya ndiyo but kilichosababisha akapost hivyo ni hayo maneno yaliyoandikwa hapo kwenye kibao.
akili ya babaako ndio fupiHahaaa....ina maana Waslamu akili zao ni fupi na matajiri wa jazba?
Kuna ka ukweli hapo...
Bangi za uzeeni sio mzuri mkuu..jiheshimuHahaaa....ina maana Waslamu akili zao ni fupi na matajiri wa jazba?
Kuna ka ukweli hapo...
Hakumaanisha hivyo mkuu,Hahaaa....ina maana Waslamu akili zao ni fupi na matajiri wa jazba?
Kuna ka ukweli hapo...