Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi

Mkuu with all due respect naomba nielimishe wabunge wa viti maalum Chadema wanateuliwa na chombo gani chamani?
 
Halafu waweza kuta hii ni ID ya lile zuzu lililotimuliwa kwenye Uspika na serikali, akili zinafanana na mliowaponza hao covid.
Bush lawyer.
 
We nilishakwambia not long ago kwa sasa ni ‘confused.com’ hujui tena unaamini nini.

Ushauri wangu baki na majukumu uliyopewa ya kuwa chawa wa maza.
 
Mkuu with all due respect naomba nielimishe wabunge wa viti maalum Chadema wanateuliwa na chombo gani chamani?
Mkuu Matola , kwenye uteuzi wa wabunge WA viti maalum, kila chama kina utaratibu wake wa ndani, kwa Chadema ni CC ya Chadema kwanza kwa kila mjumbe kuleta watu wake, ndio maana ulikuta mtu anamleta mwanae wa kike, na mke wa mtoto wake wa kiume hivyo bungeni wako Baba, mtoto na mkwe!. Lisu na Zitto wakaleta dada zao!. Wajumbe wengine wake zao na kwa baadhi ya viongozi wakaleta hadi vidumu vyao!, ambavyo havichangii hoja yoyote mule Bungeni zaidi ya kutoa tuu zile huduma za kibinaadamu!.

Majina hayo huwasilishwa NEC 30 days kabla ya uchaguzi in order of preference.
Baada ya uchaguzi, NEC hufanya calibration ya kura za urais na kukokotoa idadi ya viti maalum kutoka kila chama na kuwaandikia barua vyama vi confirm uteuzi. Chadema responded kwa barua halali, yenye headed paper ya Chadema na signature ya office bearers.

NEC ikafanya uteuzi na kumpa Spika majina. Katibu Mkuu, JJ.Mnyika, huyu ni Nyerere type, hakuleta jina la ndugu yake yoyote, mke au kidumu, akashangaa barua hiyo ya uteuzi imeandikwa na nani na kusainiwa na nani wakati yeye ndiye KM na hakuandika!. Akaliamsha!. Ukweli barua ya uteuzi ipo ni bonafide genuine, ina bonafide genuine headed paper ya Chadema, ina bonafide genuine signature ya office bearers, hivyo hakuna forgery yoyote ndio maana hawakuripoti polisi ili uchunguzi wa kijinai ufanyike!. Na kikao cha Baraza Kuu, hakikufanya and due diligence yoyote kujiridhisha CC did the right thing zaidi ya kuyabariki maamuzi ya CC ya Chadema.

Chadema ina katiba yake yenye miongozo yote ya nidhamu, kwanini haikufutwa?. Ule ni Ukangaroo!.

Kama ilivyo kwa Zitto as NKM na Halima Mdee as Mwenyekiti wa Bawacha, hawa wanachaguliwa na Baraza Kuu, ndilo mamlaka yake ya nidhamu, CC ya Chadema ilipata wapi mamlaka ya kumtiimua Zitto na sasa Halima?!. Huu ni Ukangaroo!.

Kiukweli karma imekuwa iki washughulikia Chadema collectively as chama na kuwashughulikia viongozi wake individually!. Why now add an insult to an injury?.

Karma is real!.
P
 
Adhabu ya msaliti popote pale duniani ni kuangamizwa. Covid 19 wanapaswa kuangamizwa milele kisiasa.

Ilishangaza hata wasaliti kupigiwa kura kuwa wafukuzwe au wasifukuzwe!! Kulikuwa na njama nyuma ya uamuzi wa kuwapigia kura!.
 
Samiah alichaguliwa na Nani? Kwenye uchaguzi upi?.
Kama ulipiga Kura utakua uliona picha ya Samia na hayati magufuli, so akipigwa Kura, so Kama chadema haikubaliani na matokeo ya uchaguzi basi mjue Kua Samia ni zao la uchaguzi maana hatujafanya uchaguzi mwingine wa huru na Haki.
Je, mbowe ikiwa misimamo ya chama chake ni kutoitambua serikali, Je, kwanini alienda ikulu kumuona rais Samia (asiemtambua?)
 
..Halima na wenzake waombe msamaha.

..Wamtaje aliyewarubuni, na namna alivyowarubuni.

..Hatua kali za KISHERIA zichukuliwe kwa wote waliohusika na jambo hili.
Na mbowe inabidi aombe msamaha chama kwa kukutana na rais Samia (wasiemtambua) zaidi ya mara mbili.
 
Hapo kwenye mikopo hapo[emoji1787]
 
Mungu na chadema wapi na wapi? Hicho chama Kama wanataka kukiua hata kesho inawezekana, rejea mbowe alivokua mahabusu(kipindi cha mwaka mzima almost) chama kilistuck, halikua na mipango yoyote zaidi ya kufatilia kesi ya mbowe.
 
Very informative and educational thanks

Mbowe ni muhuni siku zote, tatizo ni upofi wa wanachadema kutotaka kukubali ukweli for what Mbowe stands for.

He is just an old reprobate
 
Then mnagain nini baada ya kuwadukuza?
Badala ya kujenga umoja na roho ya kusamehe mnajenga mipasuko na chuki isiyo ya msingi. Mmepoteza uelekeo.
 
Mmeshindwa kuchanga karata zenu vizuri, mmefukuza wanawake potential Sana kwenye siasa na nchi hii kwa kushupaza shingo tu, sometimes mjifunze hata kwa CCM wanatofautiana Sana lakini hakuna anaefukuzwa au kuitwa msaliti au kuchukuliwa maamuzi magumu Kamayenu ( lengo ikiwa ni kujenga unity kwenye chama)
Ukomavu wa siasa ni neno mtambuka, ukilitafsiri vibaya linakugharimu.
 
Rais asiyetambuliwa kaburi lake liko Chato.
So Samia mnamtambua? Kura alizopigiwa hayati si ndio zilizomuweka mama Samia madarakani? Au kuna uchaguzi mwingine wa huru na Haki ulifanyika?
 
Alioponda chadema au CAG? Mbona mnachanganya mafaili?
 
Ndugu, umefatilia Jana hotuba ya Mh. Mbowe ni kwamba Rais alimuita kupanga kikao Kati ya serikali na Chadema. Kitakachokuwepo wiki ijayo. Serikali wajumbe kumi na chadema wajumbe kumi.
Mbowe na chadema walideclare kutoitambua serikali iliyopo madarakani na kutoipa ushirikiano, na ndio mana hawakutaka hata kukaza nafasi ya Viti maalum, sasa mbowe ilikuaje akakubali kukutana na raisi (zao la serikali asiyoitambua ) na kupanga yote hayo? Je, hajakiuka makubaliano ya chama?
 
Halima sijui kilimsibu nini adi kubadilika gafla na kuwa bandidu
Boy akina Nusrat hanje wameteseka Sana kutokana na ukiritimba wa Viti maalum chadema ( kupeana wanaojuana) angetakiwa kuwa bungeni tangu 2015, lakini dhuluma na ukiritimba uliokithiri chadema ndio umesababisha haya,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…