Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi

Nadhani wanawake hawa wana nguvu fulani ya kuivuruga CHADEMA. Zitto mwenyewe peke yake alipoondoka CHADEMA amekuwa mwiba kwao, sasa kkweli iweni Mdee pamoja na timu yake kweli?

Ni simple sana mwaume kuaminika akifnya usaliti kulko dada zetu
 
Asante kanda ya nyasa
 
Kuna Moja hapo ni jirani yangu Dodoma🥴🥴🥴 Hela tamu,amekaoa Ka braza men ...mishen town ,Mario ,yeye wakati anahangaika Bungeni huko dogo asubuhi kishaingiza Malaya ananyandua tu!
Kwa jinsi anavyochukiwa na Mtaa( ambao 99 ni CHADEMA) hakuna hata wa kumwambia!
Labda abaini hili kupitia bandiko hili!
Ila akome kuringa!
 
Watamkuta Kibatala kwenye geti la Kisutu.
 
Msaliti haachiwi hata siku moja.

Lazima tuwe na taifa lenye watu wenye msimamo thabiti.

Usimtegemee mwanadamu hata siku moja. Muda huu tumaini lao lipo pale chato kwa chini.
Mbowe Juzi ikulu alienda kufata nini?
Kama hamtambui raisi ikulu alienda kufata nini?
 

Safi Sana Mambo yamefanyika kwa wazi kura zimepigwa wasioafiki ni wachache na walioafiki Ni wengi. Kweli chadema imekuwa.
 
Faida ya kwanza ni kuonekana ni chama kinachosimamia katiba na itikadi zao ukizikiuka hata kama ni Tundu Lissu unafukuzwa!

Mzee Mdee na wenzake kuna mahala wameandaliwa ngoja uone wanakoenda
Isipokua mbowe
 
Hiyo taarifa ya kwamba chadema wamebadili gear na kuzitaka nafasi na ruzuku umezitoa wapi?. Chama kimewafukuza uanachama sio ubunge elewa vizuri hapo. Swala kufukuzwa ubunge sio jukumu la chadema ni Katiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…