Tetesi: Baraza Kuu La CHADEMA linatarajia kukutana kwa dharura Kumjadili Mbunge Machachari (Joshua Nassari)

Tetesi: Baraza Kuu La CHADEMA linatarajia kukutana kwa dharura Kumjadili Mbunge Machachari (Joshua Nassari)

HAKUNA ANACHOKIFANYA NASSARY AMBACHO CHADEMA HAWAKIJUI,HAO HAO WANAOMRUBUNI NIDIO WANAPELEKA HABARI KWA UONGOZI WA CHADEMA...YOOTE (anayoyafanya Dogi) YANAJULIKANA
 
Chadema wa hapa jf acheni ujinga!

Kuna ID zipo humu siyo za kuzipuuza kabisa, cha ajabu wakileta jambo badala ya liwe alarm kwenu mnaanza kubwabwaja na kutukana hovyo.

Sasa hebu ona kama huu uzi ni wa 2017 lkn ona kinachotokea leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule dogo mzalendo sana..alishiriki kikamimilifu vita dhidi ya mafisadi..pia aliachana na lema baada ya kuona anafanya siasa za kuchumia tumbo..toka wampokee lowasa yeye amekuwa inactive..
Kwa mwanachadema asilia kusimama na lowasa jukwaa moja inahitaji unywe na ufukiziwe Maji ya unafiki.
Can you say this again?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema wa hapa jf acheni ujinga!

Kuna ID zipo humu siyo za kuzipuuza kabisa, cha ajabu wakileta jambo badala ya liwe alarm kwenu mnaanza kubwabwaja na kutukana hovyo.

Sasa hebu ona kama huu uzi ni wa 2017 lkn ona kinachotokea leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ya bavicha ni UJUAJI MWINGI.

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
Naona huu Uzi unauchungulia kwa mbaliii unaenda MMU
Mbowe, pamoja na tamaa ya pesa za lowasa, alipaswa kujua kuwa kile alichoita kubadili gia kitakuwa na consequences. Watu wamejiaandaa kuitoa CCM wewe unawaletea mgombea toka CCM, tena mbovu kabisa kati ya wote walioomba huko CCM!
 
Back
Top Bottom