Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwanini wasimfukuze uaanachama ili tujue chadema ina intelijensia nzitoHAKUNA ANACHOKIFANYA NASSARY AMBACHO CHADEMA HAWAKIJUI,HAO HAO WANAOMRUBUNI NIDIO WANAPELEKA HABARI KWA UONGOZI WA CHADEMA...YOOTE (anayoyafanya Dogi) YANAJULIKANA
Jamaa ni mambumbumbu kinyamaNdio shida ya Chadema mkishtuliwa au kuonywa mnaishia kejeli na hata matusi.
Kishatimia mule mule ha ha ha.
Can you say this again?Yule dogo mzalendo sana..alishiriki kikamimilifu vita dhidi ya mafisadi..pia aliachana na lema baada ya kuona anafanya siasa za kuchumia tumbo..toka wampokee lowasa yeye amekuwa inactive..
Kwa mwanachadema asilia kusimama na lowasa jukwaa moja inahitaji unywe na ufukiziwe Maji ya unafiki.
Shida ya bavicha ni UJUAJI MWINGI.Chadema wa hapa jf acheni ujinga!
Kuna ID zipo humu siyo za kuzipuuza kabisa, cha ajabu wakileta jambo badala ya liwe alarm kwenu mnaanza kubwabwaja na kutukana hovyo.
Sasa hebu ona kama huu uzi ni wa 2017 lkn ona kinachotokea leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia wewe mfua nepi za TRANaona huu Uzi unauchungulia kwa mbaliii unaenda MMU
Mbowe, pamoja na tamaa ya pesa za lowasa, alipaswa kujua kuwa kile alichoita kubadili gia kitakuwa na consequences. Watu wamejiaandaa kuitoa CCM wewe unawaletea mgombea toka CCM, tena mbovu kabisa kati ya wote walioomba huko CCM!Naona huu Uzi unauchungulia kwa mbaliii unaenda MMU