PostGE2025 Baraza la maaskofu Tanzania (TEC) mnatukosea sana wakatoliki

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Listen bitch,,I support what I believe is working it doesn't mean we have to agree on everything...
Unasupport on what you believe and you believe on mass killing..? Umezaa juzi wewe usijifanye hujui ulipokua unazaa huweza ukasupport watu kuua km una hicho kitu ndani yako usingezaa hicho kichanga chako ungekiua kabla hakijafika duniani, angalia unachoongea maana kinakurudia wewe mwenyewe
 
Umeandika ujinga mwingi sana kudhihirisha upumbavu wako.
-Wewe chawa ukosefu dhahiri wa akili inatakiwa ufahamu kile kilikuwa ni kikao cha TEC na yale yalikuwa ni maoni ya TEC, hawajalazimisha kwamba kila muumini awe na maoni sawa na yao. Halikadhalila na BAKWATA walitoa maoni yao whether you like it or not ni uhuru wao kutoa maoni ambayo kwangu personally yalinichefua lakini sipaswi kuwapangia sanasana nitaweka wazi kuwa maoni yao ni ya Kichawa(and that's obvious).
Unazungumzia kwamba eti wanahubiri siasa, that's pathetically stupid. Walionza kupongeza na kusifu huku wakilalamikia waandamaji ilhali hawajawahi kuilalamikia polisi wanaoteka, kuteka, kulawiti na kuua raia kisa tu wana maoni tofauti na huyo rais haramu. It's hypocrisy at it's finest.
-Maeneo yote yaliyoshambuliwa yalilengwa kwa sababu maalum, it's either kuna uwekezaji wa mafisadi wezi wa mali za umma kwenye hizo biashara, au biashara za mafisadi au beneficiaries wa ufisadi au chawa wa mafisadi ambao definitely kwa njia moja au nyingine, directly or indirectly pia ni beneficiaries wa ufisadi. Gen Z hawakuwa wakienda blindly.
-Kushambulia vituo vya polisi ilikuwa sahihi kwa asilimia zote, polisi ndiyo wamekuwa wakiteka, kulawiti, kutesa na kuua raia simply kwa kuwa mawazo yao yanakinzana na ya Samia. Mafwele(ZCO) amelalamikiwa na wote waliowahi kutekwa na kufanikiwa kutoka wakiwa hai, personally umewahi kumfungulia uzi mrefu kama huu uliowalalamikia TEC? Hata IGP au RPC wa kanda maalum hakuna aliyewahi kuzungumzia suala la Mafwele kutajwa katika kila utekaji na uuaji unaofanywa na jeshi la polisi pamoja na usalama wa taifa. Viongozi wa dini wasipopaza sauti raia watakosa watetezi.
-Unalamika kwa TEC kukosoa ni kwamba wamejitwisha ajenda za chama kilichogomea kushiriki uchaguzi hivyo ni bora wakaingia kwenye ulingo wa siasa jumlajumla vipi waliosifia na kumpongeza nao wanabeba ajenda za Samia na chama chake kwamba nao inawapasa moja kwa moja kuvaa sare za CCM misikitini na makanisani? Je supporters tu wa CCM wabaruhusiwa kuchanganya dini na siasa?
-Umeji-expose ulipoingiza propaganda ooh mara Samia kafanya hili mara kafanya lile vipi mbona umesahau kuandika jinsi kikosi chake cha wasiojulikana kinavyofanyia maasi raia bila kufuata taratibu za kisheria, anasikia kila siku polisi wake chini ya Mafwele na Muliro wakitajwa kwenye unyama dhidi ya binadamu na anakaa kimya. Bila sauti za viongozi wa dini nani atatetea wananchi?
-Maoni ya TEC hayakuhusu kwani wewe si member wa TEC na hauna sifa(lazima uwe askofu kwanza) za kuwa member, tafuta kundi lako mtoe maoni yenu. Goodness Mafwele hana ubavu wa kuwateka TEC hivyo imekuwa vyema sana wametoa maoni ambayo yameakisi maoni ya Watanganyika(Watanzania) wengi.
-Kuhusu maendeleo(propaganda zako) labda tu uelewe hajafanya lolote la maana nje ya kazi anazolipwa kujifanya na bado hajatosha kwani hana ufanisi wala maadili. Anaalika majambazi ikulu na kupiga nayo picha za kukumbatiana huko ni kuinajisi ikulu na pili apunguze kunywa Konyagi ndiyo inayompelekea kufanya yote hayo.
-Umezungumzia tume ya uchunguzi, Samia ambaye as for now ni haramu kwa kuwa hajachaguliwa na wananchi hana hadhi ya kuunda time labda civil rights organizations wakishirikiana na mashirika ya kimataifa ndiyo watachunguza justly na kutoa majibu yaliyonyooka.
-Upuuzi uliokithiri ni ulipoandika wamuache Samia atawale kwa amani eti nchi inataka amani, labda nikuulize amani ya nani? Labda amani ya Ali Kibao au Mdude Nyangali? Au amani ya Samia, Abdul, Kikwete na Ridhiwani?
Haki kwa wote ndiyo huleta amani kwa wote, haki huzaa amani.
-Umemalizia kuwaasa kuwa wakae mbali na siasa, japo akili yako ni ndogo jitahidi uelewe kuwa kukosoa utawala si siasa, NGOs zinapokosoa siasa haimaanishi kuwa zinafanya siasa na hata Gen Z wanaopambania future yao haimaanishi kuwa wanafanya siasa. Lazima kuwe na cheks and balances ili kuhakikisha wanasiasa hawatoki nje ya reli. Hapohapo ulipadai TEC wakae mbali na siasa ungeanza na BAKWATA, Mwamposa na chawa wengine ambao ni either wachungaji au mashehe kwani wao ndiyo walianza kabla hata TEC hawajatoa tamko lao otherwise stop your hypocrisy.
Samia si rais halali, hakukufanyika uchaguzi halali hana legitimacy ya kujiita rais wala kutambuliwa kama rais. Ni rais haramu.

Your browser is not able to display this video.
 
Kwanza kwa kwa taarifa tu, TEC wamekuwa wakionya about mwenendo wa mamlaka na impending danger since 2018.

TEC hawaleti mpasuko ila wataka uwajibikaji since gov inatabia ya kukwepa kuwajibika
TEC HAIJAWAHI KUMPA TAMKO LOLOTE MKAPA KWENYE MAUAJI YA WAISLAM PALE MWEMBECHAI,WAACHE UNAFIKI HAWA WAVAA MAGAUNI
 
TEC HAIJAWAHI KUMPA TAMKO LOLOTE MKAPA KWENYE MAUAJI YA WAISLAM PALE MWEMBECHAI,WAACHE UNAFIKI HAWA WAVAA MAGAUNI
Rudi tena nyuma labda huna record,
Tamko lilitolewa na wakati huo Mhashamu Tarcisius Ngalalekumtwa
Ulikuwa ujumbe wa kwaresma
Lilikuwa likiongea mambo haya haya na wakashauri

2021 walirudia tena
Similar scenario


ukisema wavaa magauni, mbona na nyie mna vaa?
Au nyani haoni kundule?
 
Nadhani hoja zako zote zimejibiwa na wao. Bila watu kusikilizwa kungekuwa na maandamano? Je mtu anayefanya vurugu ya kuchoma vitu, hukumu yake ni kupigwa risasi?
 
AI
 
Hawa tec ni wachochezi balaaa yan hawataki kuona watu wanaishi kwa Amani. ! Sijui Hawa wanataka amani gani
 
Nilivyona hiyo Profile Picture ikabidi nibonyeze mstari wa kushuka chini faster kwenye Comment ni Comment kwamba Huo ni Ujinga kisha nitoke Faster
 
Kumbe hua una ujinga mwingi hivi? Ckuwahi tambua hili.....
 
BAKWATA mkubwa wewe !!!
 
Katika ukosoaji kanisa liko selective and biased against Islamic leaders kila wanapopata madaraka. Mungu hapendi hivyo
 
Mbona walitoa tamko pia kuhusu matukio yanayohatarisha demokrasia kama utekaji,Kesi za kubambikwa , mambo hayo waliyataja kama yanaweza chochea hasira za wananchi
HUKO AAAH HUKUONA
#SEMA Nyie Jamaa kama hukumu kweli zitatolewa kwa mujibu wa maandiko haya matakatifu tuliyonayo mna SEHEMU YENU YA KIPEKEE HUKO KUZIMUNI.
 
Wewe nae umeandika uharo mwingine
 
Kitu kimoja ambacho sijaelewa ni kutoona video za waandamanaji wakifanya fujo/vurugu, wizi, uchomaji na uharibifu wa mali.

Kwa nini videos zinazosambaa ni za wahanga wa mauaji tu na si za waharibifu!!??

Kwenye biashara zangu, kuna CCTV, na zinasave kwenye servers za kawaida na cloudy.

Mbona hatuoni videos za CCTV za vituo vya mafuta vikichomwa!!??
 
Aliyesoma hadí mwisho atufañyie summary ,,..,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…