PostGE2025 Baraza la maaskofu Tanzania (TEC) mnatukosea sana wakatoliki

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wewe wa kupigwa na mawe
 

Attachments

  • Screenshot_20251116-204502.jpg
    116.8 KB · Views: 23
Nilikuja Dar es Salaam kikazi na naishi Tegeta!

Ukiwaishwa matibabu utapona!
 
Wewe 🐷🐷

Bila shaka ulishiriki kuua mamia kwa maelfu; subiri dawa ikuingie mbwa wewe🚮🚮🚮🚮
 

Umelaani uharibifu wa mali na miundo mbinu lakini umeshindwa kulaani mauaji ya watu lukuki wasiokuwa na hatia? Au kwa kuwa unajua aliyetekeleza mauaji ni huyo uliyemuweka kwenye profile picture yako? Machawa mnanishangaza sana. Na jina lako feki hilo, eti Joseph Simon Mapunda 😂😂.
 

Kwasababu adhabu ya hayo yote siyo kifo.

Na wengi waliopigwa risasi za vichwa walikuwa nyumbani. Walikuwa wanatoka masokoni, kununua dawa, kwenda hospitali. Kwanini mmewaua?
Kama mtu amechoma au kuiba sheria inasema apigwe risasi ya kichwa na kufa hapo hapo? Nchi hii inazo sheria na kanuni. Wacha kuwa na ubongo wa kuku.
 
Kabla ya yote sibitisha jina lako kwa kuweka Id yenye jina lako tu
 
Umetumwa na nchimbi siyo, mwambie ndugu yako damu ya watanzania itamlilia mpaka, utawala unanuka damu hau ulitaka mapadre waseme huyo uliyemweka kwenye profile hajaua siyo, mwambie huyo uliyemweka kwenye profile damu ya mashahidi wa kitanganyika zikawe juu yake.
Weka hata picha ya mzazi wako basi
 
Kabla hujaendelea tujulishe elimu Yako Ili tuilinganishe na ya Askofu Wolfgang Pissa Ofm cap. Rais wa TEC.
 
Si ajabu sisi wana CCM tunaitwa "primitive". GEN Z wanaingia kwenye mitandao ya JWTZ na kufyonza taarifa nyeti.

Leo yule wanayemuita Rais wao wa GEN Z, Abil au Habil,ameingia kwenye mfumo wa vyombo vya ulinzi likiwemo JWTZ.
Ni hatari mno.
 
Serikali hatuitambui na kenge wenu wa kijani
 
Kwa hiyo kuponya ni Kwa kuvunja Katiba , kudharau ripoti za cag, kubambikiwa s watu kesi, Abdul Kula keki na Bregedia na Askari wengine ki kubaka kuna kuwa ni kazi na utu
 
Si ajabu sisi wana CCM tunaitwa "primitive". GEN Z wanaingia kwenye mitandao ya JWTZ na kufyonza taarifa nyeti.

Leo yule wanayemuita Rais wao wa GEN Z, Abil au Habil,ameingia kwenye mfumo wa vyombo vya ulinzi likiwemo JWTZ.
Ni hatari mno.
Hebu tumegee kidogo hii,akakutana na nini?
 
Prescription waliyoitoa TEC ndiyo itakayoponya hili taifa, kama itazingatiwa na wadau. Hakuna maridhiano yasiyoambatana na uwajibikaji. Huwezi kuua hundreds of people halafu ukataka maridhiano bila uwajibikaji. Huko ni kukosa seriousness!

Hata maridhiano na Mwenyezi Mungu yanaambatana na toba. Kama hujawa tayari kutubu maana yake hujawa tayari kufanya maridhiano.

Tafakuri ya TEC imenyooka sana, na si tu inakubaliana na mafundisho ya vitabu vitakatifu, lakini pia inazingatia Katiba ya nchi yetu. Wajibu mkubwa kabisa wa dola ni kulinda uhai wa raia wake. This is a nonnegotiable responsibility. The state has failed the people of Tanzania. Wahusika lazima wawajibike. It’s that simple!
 


NA WEWE UMEPEWA HILI ANDIKO USAMBAZE? TUPO WENGI WALITUAMBIA TUJIFANYE NI WAKATOLIKI NA HATUPENDEZWI NA TAMKO LA TEC. NIMEKATA 200,000 YAO WEWE ITAKUWA ULICHUKUA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…