PostGE2025 Baraza la maaskofu Tanzania (TEC) mnatukosea sana wakatoliki

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wewe hujitambui
Suala la kutetea haki kwenye nchi tangu lini likawa la wanasiasa peke yao

VItabu vyote vinatajwa Kwa sauti kubwa suala la haki ,
Hata wapagani Wana misingi Yao ya kutetea haki

Mashetani PEKEE ndo walikataa mfumo wa Mungu mwenye haki
 
milele Amina !
kuna siku ngumi zitazuka kanisani iwapo mambo haya yataendekezwa
 
Wewe hujitambui
Suala la kutetea haki kwenye nchi tangu lini likawa la wanasiasa peke yao

VItabu vyote vinatajwa Kwa sauti kubwa suala la haki ,
Hata wapagani Wana misingi Yao ya kutetea haki

Mashetani PEKEE ndo walikataa mfumo wa Mungu mwenye haki
Haki ipi? Ya KANISA KATOLIKI KUINGIZA SILAHA KALI NCHINI?

Your browser is not able to display this video.
 
Uzuri watu wa hiyo kanda uliyotokea asilimia kubwa akili zipo matakoni na wewe ni mfano mzuri
Msikilize MKATOLIKI HAPA anasema nini.

Your browser is not able to display this video.
 
Haki ipi? Ya KANISA KATOLIKI KUINGIZA SILAHA KALI NCHINI?

View attachment 3526800
Wewe umefufuka lini? Mimi nilijua ulishakufa siku nyingi na nilikuwa najua kuwa tayari ulishakabidhiwa wale Mabikira 72 mlioahidiwa na mtume wenu fake.

Unatuletea habari za Msaliti Mzee wa kushindia Mihogo aliyelisaliti kanisa kwa kupenda NGONO akaacha Upadri baadaye akaingia kwenye siasa kajiunga na siasa upande wa ccm na huko akawqsaliti akajiunga na Chadema huko pia kawasaliti kwa kupenda pesa na cheo karudi tena ccm kapewa na Ubalozi.
Huko pia hakutosheka kawasaliti na sasa yuko tena Upinzani.

Sasa Mbwa kama yule wewe Nguruwe unamwaminije? Slaa aliweza kumsaliti Mungu wewe atashindwa nini?

Bora wewe ungebaki hukohuko kuzimu uendelee kuwabikiri wale Mabikira fake mlooahidiwa na mtume wenu fake kuliko kuja hapa kutuletea UHARO wako hapa.

Hivi kwa akili yako ndogo unafikiri serikali ni wajinga kama ulivyo mjinga wewe kuachia mwanya silaha ziingizwe bila wao kujua? Acha ujinga!!!!
 
Wewe Lofa umelipwa shilingi ngapi?
 
Wewe unafikiri kwa kutumia makalio yako, pumbavu wewe, mtahangaika wewe na hizo vipande 30 vya fedha havitakusaidia. Tuulize sisi tuliobobea kwenye falsafa ya dini. Acha kutumia kwa sababu una njaa. Fala wewe na mpumbavu mkubwa, hutubabaishi lofa wewe.
 
Picha tu kwenye profile.......imekuwa utambulisho wako.....
 
T
Teh teh teh
Kafiri ulotamani sana nife ili uendelee kudanganya paka wenzako hapa.
Tuanze na suala la mabikra .
Hakuna mwanamme wa kweli akachukia mwanamke bikra ispokuwa mashoga tu. Na wewe ni mmoja wao. Manake suala la mabikra linakukera sana.
Ushakua lainiii. Zee zima shavu dodo. Makalio nje . Shida siku hizi mashoga wazee km wewe hawana soko. Na hapa Tz mashoga tunanyonga ole wako tukukamate.

Kuhusu Dr Slaa. Huyo ni MKATOLIKI. Na KANISA lilimpa CHEO CHA UKATIBU MKUU. NA KANISA LIKIINGIZA SILAHA KALI Na Yeye akishuhudia.
Km no UONGO mbona KADINALI PENGO Hakukana tuhuma hizo?
Kwanini KADINALI AKUBALI KANISA ANALO ONGOZA lipakwe mavi na huyo unaemuita PAKA?
KAMA TUHUMA HIZO NI ZA UONGO KWANINI KANISA LISIMFUNGULIE KESI YA deformation of character DR SLAA?
Wewe ni pimbi usiejua hata sheria ni kitu gani. Unachoweza ni kujificha nyuma ya simu yako ya mkopo ukarusha mipasho humu kama malaya flani.
Kumalizia ni kuwa km una binti bikra na kwa nyie wakerewe mimi ntainunua hio bikra kwa laki 2. Tena ntakutumia na ya kutolea .

Nasubiri jibu pashkuna wahedi
 
Yaani wewe unajiita UMEBOBEA KWNEYE DINI YA KIGALATIA.
Halafu unamwambia MGALATIA MWENZAKO makalio yako, pumbavu wewe,. Fala wewe na mpumbavu mkubwa, hutubabaishi lofa wewe.

SASA KM WEWE NDIO BINGWA WA FALSAFA YA DINI YA PAULO. yule asiekuwa Bingwa Ana matusi kiasi gani?


DUHHH Ugalatia ni imani yenye Sarakasi za ajabu.

Kwa mwendo huu ndio maana mkadai kuna kiumbe asiekuwa na hatia KAUAWA KIFO CHA LAANA ili nyie msamehewe madhambi yenu km haya.

HIO NI NDOTO.
 
Hongereni sana JamiiForums kwa kuunganisha huu uharo wa huyu sheikh ubwabwa wa bakwata.
Teh teh teh
Yaani unashangilia kuona nyuzi za MKATOLIKI KUTOA SIRI CHAFU ZA KANISA zinapungua kwa kudhani uchafu wenu utapotea ! 🀣🀣

Uchafu na uozo wa KANISA KATOLOKI UMESAMBAA DUNIANI na wanao tupatia habari hizo ni hao hao WAKRISTO KAMA WEWE

Msikilize na huyu MKIRISTO mwenzako Anasema nini kuhusu Hio imani ya Weekend.


View: https://youtu.be/yxIFuELaFG4?si=TbWohssXOyHmyDDl
Waombe MODS wafute na huu uzi.
 
Mgalatia pata elimu hapa kutoka kwa Mgalatia mwenzako.
Manake maneno haya Angeongea shehe maalim Ustadh mufti kahtaan mngesema ana majini na mapepo.
Haya sasa na huyu anaetoa data za UHAKIKA na kuonyesha Historia ya ukweli na yeye paka mwenye akili mbaya au?


View: https://youtu.be/03i3KGKS7Zs?si=cRI6gAh_bNZsL9fU
 
Acha ujinga huyo jamaa yako huko kwao hawamtaki hata tu kumpa Ubalozi wa nyumba kumi hawamtaki wewe BUMUNDA na wafuga midevu na majini wenzako ndiyo Mnamshobokea!!!!!

Kama angekuwa na maana huko kwao angekuwa na jina au cheo lakini kwa sababu ni BUMUNDA mwenzako ndiyo maana yeye anaitwa KASUKU tu!!!!
 
Safari hii wafuga Midevu na majini mmeshikwa pabaya na kanisa katoliki, safari hii mtaandamana sana kwenda ubalozi wa Vatican na kwa sababu ninyi ni waandamanaji wa kulipwa itafikia sehemu mtachoka tu na kanisa katoliki hamtalifanya chochote na majini yenu!!
 
We ni mzee wa "Kulu alahu tatu" ushafahamika. Sikuhizi mpumbavu anajulikana tu kwa kushabikia ujinga wa CCM. Ukishakuwa mtu wa kuponda watu wenye hoja za msingi kiushabiki basi unakuwa umejipambanua kuwa wewe ni mzandiki tu.
 
Wewe ndiye mpumbavu usiye na akili. Huyo mama yako mwenye kichwa cha mbuzi ndiye muuaji mkubwa.
 
Ujinga na upumbavu wa ndugu zako waislamu wenyewe huusemi kwa nini?

Mmesahau mnapokwenda Makka kumpiga mawe Shetani wa Michongo?

Mmesahau mnavyoambiwa na Sheike Ubwabwa kuwa siku ukifa utakabidhiwa mabikira 72 wa michongo uwabikiri?

Mmesahau hata kuuliza kama wanaume wanapewa mabikira 72 je wanawake watapewa nini siku wakifa?
 
Wanaharakati wengi wanadhani kuchafua taswira ya kanisa na viongozi wao ndiyo tiba halisi ya matatizo yaliyotupata. Kama ambavyo kanisa katoliki na viongozi wake wamekuwa wakionya mambo kadhaa kwa taifa hili, wanaharakati nao watumike fursa hiyo kutafuta namna nzuri ya kutatua changamoto za kitaifa siyo chama na viongozi wake.

Hata wapeleke moto kiasi gani kwa viongozi wa katoliki na TEC hawawezi chagua taasisi hiyo zaidi ya wao kuonekana kituko kwa watu na jamii Yao.
Kwangu Mimi ninayo maswali machache kwa mleta mada-:
1. Yaliyotokea 29 oktoba yalitokea au hayakutokea?
2. Kuwa kiongozi wa kidini na kuwa mwanachana wa chama x ni kosa kwa Sheria za nchi?
3. Mambo yanayosema na TEC ni ya kitima, Ruwachi au Baraza lote la kanisa katoliki tanza?
4. Je! Kushauri na kuonya juu ya mwenendo wa taifa ni kuleta udini na shihaka kwa viongozi wa kanisa?
NB: kama taifa tunapenda sana kupotosha kuliko kusema kweli, tunapenda sana kuigiza pasipo kupigwa kwa matendo mema, tunapenda sana kukosoa wengine kuliko sisi kuambiwa ukweli.

Kama taifa Kuna haja kubwa sana ya kuanza kujenga misingi imara ya kitaifa kwa kubomoa na kuondosha misingi isiyofaa kwa taifa na jamii yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…