PostGE2025 Baraza la maaskofu Tanzania (TEC) mnatukosea sana wakatoliki

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Sisi tunataka kuwalipa mali zenu zote na kutengeneza miundombinu yote vipi nyie tunaomba mrudisheni ndugu zetu waliokufa.
 
Umeandika andiko linalojieleza. Tatizo la TEC kwa sasa ni Padri Kitima. Msipomtimua Kitima hapo, atalichafua Kanisa Katoliki. Kabla ya Padri Kitima kuwa Katibu wa TEC hatujawahi kuona matamko ya namna hii.
 
Kwa hiyo hayo yote yaliyofanywa adhabu yake ni risasi za kifua na kichwa? Waliofuatwa kuuwawa majumbani na bar walikuwa wanachoma mwendokasi?

Ukipita Dar yote unaweza kuonesha uharibifu mkubwa uliofanyika wa kuhalalisha mauaji ya maelfu ya watu?

Pia acheni uongo, hakuna kituo cha mafuta kilichochomwa. Lake oil wamechomewa magari yaliokuwa kituoni ambayo hayazidi mawili kwa kila kituo na zaidi ni baadhi ya pump za mafuta zimefunjwa. Ni kweli vijana walichofanya ni kibaya ila haifanani na unyama uliotendeka.
 
Demokrasia unayotaka maaskofu waiheshimu ni hii ya ccm kuiba kura na kupora mchakato wa uchaguzi?
Kuwa na akili kidogo basi!
 
Wewe ni mjinga na mpumbavu sana japo sijasoma uchafu wako wote.
Hivi unajua maana ya Demokrasia?

Kwa ufupi serikali ya Kidemokrasia ni serikali iliyopatikana kwa kuchaguliwa na watu kwa ajili ya kuwatumikia watu na wala siyo hii ya vibaka iliyopoka mamlaka ya watu na kujisimika kijeshi.

Mimi si Mkatoliki lakini kwa hili umewakosea sana viongozi wako fala na mpuuzi wewe
 
Wewe unawasemea "Wakatoliki" wangapi waliokutuma kuandika takataka hiyo ambayo sikuweza kuisoma yote?

Hiyo serikali unayo izungumzia humo umeichagua wewe na nani?

Hizi 'propaganda za kijinga zilizo zoeleka bado unazileta humu kumhadaa mpumbavu gani?

Nyinyi watu wa kundi hilo mtailetea madhara makubwa sana nchi hii.

Kitakacho fuata baada ya maandishi ya kipuuzi kama haya, mtaanza kuwawinda hao hao wakatoliki na viongozi wao; mwelekeo wenu unajulikana unakokwenda.
 
Andiko hili ni ujinga na upuuzi mtupu,mbaya zaidi umeshindwa kuweka neno uchaguzi huru wa haki ambao hukuwepo,wala uwajibikaji kwa watu walioua raia wasio na silaha.

Wewe ni mpuuzi wa kijani tumekupuuza na andiko lako la kifala.
 
Umeandika andiko linalojieleza. Tatizo la TEC kwa sasa ni Padri Kitima. Msipomtimua Kitima hapo, atalichafua Kanisa Katoliki. Kabla ya Padri Kitima kuwa Katibu wa TEC hatujawahi kuona matamko ya namna hii.
Padre kitima sio tatizo as tec ina miundo wake na wasemaji wake.
Before tamko lolote halijatolewa tec hifanya kikao cha pamoja.
Hakurupuki msemaji kuja kuongea kitu ambacho hakijapangwa
 
Nenda taratibu umetutajia majina yako na unapokaa au unapoishi ila kuna kitu umesahau kutuambia.. umetumwa na nani uandike mambo haya? Wewe upo upande wa wauaji una ukatoriki gani wewe?

Nimekua nikikuona humu hautetei watu kuishi bali unatetea watu wauawe una ukatoriki gani au unajipa ukatoriki tu usiokuhusu mkatoriki gani anaeshabikia watu kuuwawa, kutekwa, kupotezwa, ni mkatoriki yupi niambie? Wewe sio Mkatoriki.. haya mauaji yaliyotokea wewe humu hujawahi kukemea zaidi zaidi kulamba matako ya waliokutuma uje uandike kuwasifu wauaji

Una tofauti gani na Norton82 Au una tofauti gani na gallow bird au una tofauti gani na Shammy- wewe una tofauti gani na stakehigh hao wote pamoja na wewe mnakaa kwenye kundi moja la kuwatetea wauaji kwa maslahi mapana ya kwenu, kwa hio kwenye jambo lako la kuwatetea wauaji ondoa Wakatoriki wanawakemea wauaji na kutaka mauaji yaishe sio wewe ambae unataka mauaji yaendelee na watu waendelee kufa unapata nini wewe?
 
Wewe chawa wa Samia, ulaaniwe wewe na kizazi chako.

Lilaaniwe tumbo la mama yako kwa kubeba mimba ya jitu lisiloifaa dunia.

ZIlaaniwe siku zako zilizobaki duniani, na kapu lako likauke, baraka zako ziondoke na ufukara na mazishi yasikauke malangoni pako wewe pamoja na aliyekutuma kuusafisha uchafu wa mauaji ya kinyama.

Kama Mungu aishivyo, neno hili halitaanguka chini bali litasimama nalaana hii itatembea nawe, mashariki na magharibi kaskazini na kusini mchana hata usiku.

Ndugu na rafiki zako watakuwa adui zako, machozi yatakuwa kicheko chako maana kamwe hutalijua tabasam usoni pako.

Zilaaniwe njia zako, wakukaribie na kukufikia adui zako, itoboke mifuko ya hazina zako mpaka siku utakapotambua kuwa umeikosea Nchi na Mungu aliyeihuisha.
 
Hamia BAKWATA au kwa Mwamposa
 
Huyo ni Bakwata tu
Ndio.

Lakini ujumbe unao wasilishwa ni muhimu hao walengwa waanze kuuchukulia kwa uzito wake.
Hawa Katoliki inaonyesha sasa ndio maadui wakubwa zaidi kwa watawala hawa waovu; na tayari matukio yanayo walenga, kama lile la Padre Kitima bado ni bichi.
Kitakacho fuata sasa kunaweza kuwa na matukio ya kutisha zaidi yakiwalenga hao Katoliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…