PostGE2025 Baraza la maaskofu Tanzania (TEC) mnatukosea sana wakatoliki

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hizo ni siasa ndani ya katoliki, wanauana wao kwa wao.

View attachment 3502549
Acha unafiki wewe acha unafiki nimekuona sana na kuleta mambo ya udini udini kupandikiza chuki za udini unapoaambiwa ukweli moja ya zile maiti angekua baba yako au mama yako ungeandika unachoandika hapo au ungetetea watu wasiuawe? Umeangalia video za watu waliopoteza wapendwa wao wanavyolia kwa uchungu wewe au umeshikilia udini wa kipuuzi tu unalipwa nini kushabikia mauaji?
 
Kanisa lenu lipo sahihi sana sana pengine wewe uelewa wako upo chini au ni mnufaika wa mfumo hasi wa sasa..
 
Ujinga zaidi alioushindwa kuuficha na kulililia kazi ya Nchimbi na Wakatoliki Ikulu kwamba wataonekanaje na boss wao!
 
Hakuna asiyejua Katoliki inaua mamilioni ya watu duniani. Hiyo ni sadaka kwa miungu zenu wa kuzimu


View: https://x.com/Getrude_mollel/status/1989623966030340176?s=20
 

Uliposema tu jengo la mawasiliano likichomwa tunakosa mawasiliano Tanzania nzima, nikaishia hapo hapo

No bora kuwa mjinga kuliko kuwa Mpumbavu ( by Mwalim Nyerere ). Yaan na essay yote hii bado huna akili kiasi hiko .?
 
Haki haina neutrality. Zungumzia mengine sio haki. Ni hivi, hapa mlipo hamtoki. Kama mlitegemea kuna wajinga wa kudumu, basi mjue mko nje ya muda. Hatutaki umoja wa kufanyana wajinga, kwenye hili hatutakuwa pamoja. Ni vyema mkajaindaa kuweka ushahidi wa wapi zimetoka kura 31m, maana hiki ndio chanzo cha machafuko ya juzi, na hayataisha hadi tupate muafaka.
 
Ila chuki zako ziachwe, mkiambiwa ukweli mnarukaruka tu kama maharage, hii nchi si ya kanisa wala msikiti wowote. Ni nchi ya Watanzania wote mpaka ambao hawana dini. Matamko yenu siyo mwongozo wa hii nchi.
 
 
Hizo ni siasa ndani ya katoliki, wanauana wao kwa wao.

View attachment 3502549
Ccm mlifanikiwa kutumia kete ya udini siku za nyuma watu wakiwa wanawaza kianalogia, na kutegemea porojo za viomgozi. Kwa sasa watu wanawaza kidigitali na wanatumia zaidi logic kufikia hitimisho. Propaganda za kizee hazina nafasi. December 9 tupo baraabarani, mtaweka ushahidi jk wapi kura 31m zilitokea.
 
Wanaopiga kelele ni wakatoliki tu. CCT, WASABATO, WALOKOLE n BAKWATA wapo na Samia. Na mpiga kelele mkubwa ni Padri Kitima nduye na Tundu Lisu. Hakuna jipya hapo
 
Kama wewe ni mkatoliki basi ni mkatolili wa hovyo sana. Umeandika andiko refu la kujenga hoja ya kuua raia! Unataka kanisa litangaze amani kwa serikali iliyohalalisha kikundi cha watu kuua raia bila kuwafikisha mahakamani. Huwezi kusambaza upendo na suluhu kwa watu wanaoamini kumuua binadamu na kwenda kumtupa porini kama mzoga wa mbwa ni jambo halali kwao, kwamba waliouliwa rais amewasamehe kwa kuuliwa kwao.
 
Ila chuki zako ziachwe, mkiambiwa ukweli mnarukaruka tu kama maharage, hii nchi si ya kanisa wala msikiti wowote. Ni nchi ya Watanzania wote mpaka ambao hawana dini. Matamko yenu siyo mwongozo wa hii nchi.
Wewe una vinasaba na wale wauaji aidha ni mmoja wapo au ni sehemu ya wale wauaji, sasa kuna kitu nimeanza kukigundua kadri mnavyojifungua ndio tunavyozidi kuwajua.. Framed
 
Kasifu Kum@ ya mama yako msagaji ,taahira ,muuaji kichwa box samia na si yesu Kristo tunayemjua ,mbwa takataka mseng€,***** ,MALAYA,MSHENZi Taahira wewe MAandishi mengi rubbish tu kutujazia servers hapa .K
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…