PostGE2025 Baraza la maaskofu Tanzania (TEC) mnatukosea sana wakatoliki

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Umetumwa sio bure alooh,
Ety unasema waambie waamini watubu ili kuwe na amani sijui nn nn hujasema kitu haki, haki ndo msingi wa amani unayosema mdogo etu sawa.
 
Je askari waliuwa vibaka/waporaji au waandamanaji je una Ndugu zako waliouwawa?
 
Weka namba yako uliuchaguliwe ...!Hamia Kwa Mwaposa
Unahisi una ELIMU kulikowao?Wewe shida yako ni kuchaguliwa tu
 
 
Katoliki ni kanisa moja mkuu na kiongozi wenu ni mmoja tu Papa (Mungu duniani aka Mungu anayechaguliwa).
Nieleze kuhusu Katoliki kuhusishwa na mauaji ya kimbali huko Rwanda. Sababu ilikiuwa ni nini?
Naomba kuuliza account ya Mama toka tarehe 27 oct amefunga comment shida ni nini nahitaji kutoa pongezi kwenye ukurasa wake wa instagram
 
Kwa taarifa yako 99.99% ya wakatoliki wako nyuma ya matanshi ya TEC, na vile vile madhehebu mengine yote zaidi ya 90% wapo nyuma ya TEC. Freedom/Uhuru havina dini.

Kama nchi ikiwa failed state ndiyo haya yanayotokea hutokea. Mihimili yote imefeli, kufikia hadi mahakama imetekwa haitoi haki, sasa ndiyo watu wanaona Kumbe TEC wanajua maana ya haki. Mahakama kukikosekana haki hapo ndipo gangs hitokea, chanzo cha Mafia Gangs duniani ni kwa sababu tu haki haikupatikana mahakamani. Kama nitamlipa mtu wa Mafiya genge kupata haki na nikaipata kwa nini nisitumie hilo genge.

TEC are very right, kwa sababu wanatusikiliza, ndiyo kimbilio letu
 
Walichoma mali za Kikwete fisaidi ambaye ndiye chanzo cha yote?
Kwanini mlijaa kiburi kabla ya uchaguzi ,kwanini mlijaa kiburi na dharau nyingi Kwa watanzania Kwa kuwateka ?
 
Mapunda wengi ninaowajua mimi ni wapumbavu kupindukia...
Samia anaunganisha taifa lipi?....huyo mama kashapotea ...hakuna anaemtilia maanani....apambane na hali yake
 
Tsh. 25M ulizopewa kuua Watanganyika zitaishia kwenye matibabu ya kansa !Tukutane 09.12.2025
 
Demokrasia umeiona wapi umbwa wewe? Umeandika upumbavu!
 
Walichoma mali za Kikwete fisaidi ambaye ndiye chanzo cha yote?
Kwanini mlijaa kiburi kabla ya uchaguzi ,kwanini mlijaa kiburi na dharau nyingi Kwa watanzania Kwa kuwateka ?
The Law of Cause and Effect
Sasa wanalaumu waathirika wakati wao ndiyo wamesababisha.

Now you saw “The fire in their eyes and The words are clear “ Michael Jackson- Beat it
 
Uliouandika hapa ni UHARO!!!! Kwanza aliye kuuliza jina lako na dini yako ni nani mpuuzi wewe? Umepoteza muda wako mwingi kutuletea Ujinga na Upumbavu wako!!!
 
Tsh. 25M ulizopewa kuua Watanganyika zitaishia kwenye matibabu ya kansa !Tukutane 09.12.2025
Atazitapika na kuzitolea kwenye sehemu zote za miwili wake zilizo wazi ikiwamo shithole yake! Pumbavu kabisa Ma-Punda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…