PostGE2025 Baraza la maaskofu Tanzania (TEC) mnatukosea sana wakatoliki

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huyo jamaa ni mpumbavu kabisa hana akili kama hawa

 
Hayo yote hayafikii thamani ya uhai wa binadamu mmoja.

Una video clip yoyote au hata picha tu ikionesha muandamaji kauawa akiwa anachoma sheli, anavunja duka??

Lakini ingia mtandaoni uone walivyouawa majumbani, vijiweni na mtaani ambako hizo sheli hakuna.

Mkuu acheni kuwatia hasira wafiwa, tukubaki zilikua vurugu na sio maandamano sasa kwanini wasimiminiwe risasi pale pale wanaoandamana badala yake tukawa tunaviziana??

Maandamano kwa Dar hayakudumu muda mrefu ni tar 29 tu, ila risasi zilipogwa mpaka tarahe 3.

Polisi walikua wanafanya patrol kila kona ya jiji, waliweka askari na magari yao kila kona. Hao wahalifu mpaka wanavunja maduka, wanachoma moro sheli, wanachoma magari, wanavunja vituo vya mwendokasi hao "polisi" walikua wapi kuzuia uhalifu huo??

Yaani mmepewa taarifa miezi kadhaa nyuma kua kuna hili litatokea, mkapuuza likatokea badala ya kuact accordingly wao wanadelay ili wapate sababu ya kuua watu hovyo.

Kwenye clip zote ulizoziona ni ipi askari wameua mtu akiwa anachoma kituo au kuiba?? Au waliassume tu kijana yeyote ni mwizi??

Kwa taarifa yako wezi walipoiba walitokomea kusikojulikana, ni siku za hivi karibuni ndo wameanza kukamatwa, waliouawa wengi sio wezi wala waharibifu.
 
Je Mapadri waliochinja watu maelfu ndani ya kanisa huko Rwanda waliagizwa na kanisa?


Wewe ni mwendawazimu! Hakuna mahali popote ambapo kuna kumbukumbu ya kusema kuna mapadre au maaskofu walioua watu Rwanda. Hakuna hata mmoja aliyeua mtu hata mmoja. Kuna mapadre wachache walishtakiwa kwa kosa la kutowahifadhi watu waliokimbilia makanisani kuyaokoa maisha yao. Mapadre hao, baada ya kuwaruhusu waliokuwa wanakimbia vita, kuingia makanisani, walitoa taarifa kwa maadui zao kuwa kuna watu wamekimbilia makanisani, na hao maadui zao wakaenda kuwaua hao waliojificha makanisani. Lakini hawakuuawa na mapadre.
 
Siku hizi kina Steve Nyerere na yule sijui nani wamepumzishwa mumeanza nie unknown I'd?. Nina Imani mtapumzishwa sauti ya wengi ni saut ya Mungu
 
Machawa yapo kila sehemu hata kwenye ukatoliki, hata hivyo kwa ajira zenu hizo bado haziifungi mikono TEC kutetea ukweli.

Yaani ni sawa na TEC iseme kwakuwa serikali hii haramu wamo pia wakatoliki akiwemo Makamu wa Rais na viongozi wengine hadi machawa kama ww stuxnet na mleta mada basi kanisa likae kimya lisiseme chochote kuhusu haki, uchafuzi mkuu wa hovyo, mauaji nk nk
Huo utakuwa ni unafki na ndicho inachokifanya BAKWATA!!.
 
Umeandika vizuri sana ndugu...
Hili taifa si la wabudha, wala wahindu, wala tec, wala cct, wala walokole wala wapagani..taifa hili ni la wote,
Hakuna sababu ya chombo kimoja cha kidini kujipa mamlaka ya kuipangia serikali nn cha kufanya
 
Why viongozi wa dini wanaosifia serikali hamuwaambii waache kujihusisha na siasa, ila wanaokosoa serikali mnawakataza.
 
Vipi kama wangekuja na mapambio kama Yale ya upande wa pili?
 
πŸ’©πŸ’©πŸ’©
 
Kila mtu asimame na yule anayemuamini .We tetea serikali m niko na Tec
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…