Baraza la Madaktari Tanzania(MCT) limchunguze Dr Omary wa Hospitali ya Selian Arusha ALMC

Wazembe wapo; ila unapowasilisha mada/tuhuma unatakiwa usifungamane na upande wowote.
 
We shida yako watu watoe comments nzuri au tatizo lifike sehemu husika na lipate suluhisho? Tafakari kwanza.
 
Post inaweza kuwa muhimu ila umeiweka kama mgogoro wa kiutawala kwa kuchanganya mambo yasiyohusu hosipitali labda tu kama wagonjwa walikuwa wanalazwa kwenye hiyo hoteli ya kitalii ya Corridor.
Nakushauri ondoa mambo yasiyohusu hosipitali, ondoa majina ya madakitari ili isikae kimajungu.
 
watu watatu kufarikii kwenye uangalizi wa daktari mmoja sio kipimo cha uzembe japo sio jambo jema kwenye taswira ya hospitali. hamna sehemu umeonesha ki vp dr kafanya uzembe . mtu kuhudumu serikalini na sekta binafsi sio kosa kama haihathili utendaji wake wa kazi kwa mwajili wake wa kudumu. ceo sioni kosa lake kama mct yenyewe imempa leseni na ku verify kuwa ni specialist. naona wazi wazi kuna mgongano wa kimasilahi katika hili, mwandiko wako unaonesha wazi kuwa wewe ni mtumishi wa hospitali husika na hueleewi jukumu lako kwa hiyo hospitali.
 
Kuajiriwa muhimbili ni sawa kwakuwa madaktari wengi wanafanyaga part time tofauti na ajira ya kudumu serikakini. Ujue muhimbili huyu ni daktari wao wa kudumu lakini selian ni ya MTU binafsi hivyo akiajiriwa temporary au partime ni sawa . soma sheria za ajira vizuri ujue mshahara wake unatoka serikalini kwenye hospitality ngapi . kama analipwa na serikali Mara mbili ni kisa,ila kwa hoja yako yupo sahihi. Acha fitina
 
  • Kuna chuki ya madaraka hapa; muhimu tujifunze kujiajiri
  • Mada yako ilitakiwa ijikite; uchunguzi ufanyike, kubaini vyanzo vya vifo hivyo kama vilisababishwa na uzembe au kwa kutokujua kazi. Inawezekana wapo waliotibiwa wakapona pia.

Inawezekana hao waliopona wamepona kww uzembe pia (just a joke anyway)

Ila ukweli ni ukweli ni kuwa hiyo hospitali ina gharama za bei juu sana, lakini huduma ni za kiwango duni mno. Wana jengo la kisasa lakini huduma ni za kiwango cha chini. Mimi ni shuhuda wa hili kwa baba yangu mzazi kutibiwa hapo, hadi niliamua kumuhamishia KCMC hospitali. Siwashauri watu kupeleka wagonjwa wao hapo, kwanza kabisa ni kwa huduma duni, na gharama kubwa zisizowiana na ubora wa matibabu.
 
kama huduma ni duni na gharama ziko juu kwa nini wagonjwa wazidi en da hapo . je hamna hospitali karibu na hapo inayo offer bei nafuu huduma nzuri au huduma nzuri na bei kubwa ya matibu?
 
Leta na vielelezo siyo kutoa hadithi za esopo watu wakuchekee! Angeleta ushahidi wa Muhimbili kumzuia watu wangejadili.
 
Inaonekana kuna Vita vya 'ulaji' hapo Seliani ndio maana umeibuka na hizi tuhuma wakati huu.

Jaribu kufuata utaratibu wa kuwasilisha haya malalamiko kwa wahusika....naamini unaufahamu huu utaratibu maana na wewe ni mfanyakazi wa sekta ya afya.
 
Yule neurosurgeon aliyotoka Selian kwenda KCMC alipokua Selian vifo havikuepo? Unaweza tusaidia tujue mortality rate yake ilikuaje?.
 
Tatizo la Seliani ni kuwaondoa wazungu waliokuwepo kwenye management.

Baada ya hao kuondoka imeshuka kidogo ila ni hospitali kongwe na bora kwa hapo Arusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…