Mwinyi_ole_mushi
JF-Expert Member
- Oct 29, 2015
- 1,635
- 4,411
😂😂😂😂😂 make ngoja kwanza nicheke,Asante Dk kisanga
Umeeleweka
As long as miskiti haina uchafu, what is your worry all about?Duuh haya makanisa haya yamejaa uchafu sana.
Mungu atusaidie
Mkuu naomba hii document tafadhali.Hii Habari mbona kama ina kama kuchafuana fulani… mara Dr Omary mara Dr Juma. Mara Mkurugenzi mara Kanisa. Kuhusu udaktari muongozo wa MCT uko wazi kuhusu Harmonization [emoji1427][emoji362]; shida iko wapi ? View attachment 2181752
Mkuu naomba hii document tafadhali.
Otherwise Mods wanatakiwa kuwa serious na uzi zenye shutuma nzito kama hii ya vifo kwa kutaja majina ya watu bila kuwa na ushahidi. Mwaka juzi kuna madogo wa Internship kule Mbeya wali weka list ya Madaktari Eti wana lazimishwa kutoa Uroda. [emoji1787][emoji1787]
Ila baada JF ilifuta majina ya watuhumiwa,Pamoja na uchunguzi wa TAKUKURU hakuna ushahidi. Nyie Mods Kuweni makini bhana, Huu uzi jamaa wa ALMC mngeweza ku'edit maelezo yake bila kuwa na Majina ya Watuhumiwa.
nashukuru sana mkuu!View attachment 2185901
Hiyo hapo Mkuu… mwisho wa figisu figisu