Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
wote wachunguzwe hao madaktari uchwara...daktari bongo??😕....sio huyo omari au juma wote kamata weka ndani....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jf ni ya baba yako wewe jinga..kila mmoja ana haki ya kuandika chochote humu ndani..vigezo na masharti kuzingatiwaTaahira ni wewe, kwani umeshindwa nini kupeleka malalamiko yako kwa channel zinazoweza kuwawajibisha ? Kama sio majungu tusemeje sasa?
Kuna tofauti kubwa sana ya kanisa na Dayosisi! Selian ipo chini ya DayosisiKwa ulicho soma hapo juu kanisa lina husikaje
Acha kumuita daktari huyo kanjanja Tanzania hatuna uhaba wa madaktari na manesi kiasi hicho mkuu...CC Moderators
Nibadilishieni heading isomeke Dr Juma Magogo
Chuki ya madaraka na nani? mimi sifanyi na sijawahi kufanya kazi hapo wala sina hiyo taaluma hapa pana tatizo ni wajibu wa wadau husika wote kuchukua hatua na wewe usiende kutibiwa hapo hadi hatua za makusudi zichukuliwe.Hii ni sauti ya muhanga
- Kuna chuki ya madaraka hapa; muhimu tujifunze kujiajiri
- Mada yako ilitakiwa ijikite; uchunguzi ufanyike, kubaini vyanzo vya vifo hivyo kama vilisababishwa na uzembe au kwa kutokujua kazi. Inawezekana wapo waliotibiwa wakapona pia.
Bora umeona mimi nimeleta hili jambo kuokoa maisha ya watu,wananiita mfitini.Hoja hapa kuna uzembe wa hali ya juu ambao maisha ya watu watatu yamepotea.Maisha haya mbadala yakipotea yamepotea.Tuendelee kupaza sauti zetuWatu humu JF ni matahila Sana, yaani mtu akileta Jambo fulani ambalo kwa maslai ya Taifa, mnamuita mfitini,
Yaani mfano Mimi nna Jambo zito kwenye taasisi moja ya Nchi juu ya mtu fulani, lakini kamwe siwezi kulileta humu kwa matahila , yaani humu hata ukileta habari juu ya uzembe wa mtu fulani wa nafasi fulani, mizezeta itakuambia majungu tu hayo!
Wewe ni kilaza wa mwaka mzima! soma elewa kama huelewi uliza au wewe ndio Dr Juma Magogo? unaona vifo vya watu watatu waliokufa kwa uzembe ni vichache? lazima utakuwa bonge la mwendawazimu na katili kama HitlerDuh.
Kwa jinsi ulivyoandika tu, inaonyesha wewe ni mfanyakazi wa hapo Serian Hospital, maana umeandika hadi details zake za utendji wake wa kazi huko alipotokea.
Vifo vya wagonjwa watatu ndio vimeibua haya!. Je waliopona chini yake ni wangapi?.
Hata huko Muhimbili mbona wapo wagonjwa wanaofariki chini ya usimamizi wa Daktari?, na huko nako ni kwa hatari kwa maisha ya Binadamu?..
kwani mimi nimefungamana na nani? wewe ndio kipimo cha mimi kufungamana?Wazembe wapo; ila unapowasilisha mada/tuhuma unatakiwa usifungamane na upande wowote.
Tahila nkalilwolwakoWatu humu JF ni matahila Sana, yaani mtu akileta Jambo fulani ambalo kwa maslai ya Taifa, mnamuita mfitini,
Yaani mfano Mimi nna Jambo zito kwenye taasisi moja ya Nchi juu ya mtu fulani, lakini kamwe siwezi kulileta humu kwa matahila , yaani humu hata ukileta habari juu ya uzembe wa mtu fulani wa nafasi fulani, mizezeta itakuambia majungu tu hayo!
Usome Central South University uwe specialist? Hamuwajui wachina . Huyo alitakiwa akifika TZ afanyiwe mitihani vinginevyo huyu ni Dr bomuDr. Juma Magogo Mzimbiri
- RegNo: 4167
- Qualification(s)
- MD(2009) - Muhimbili University Of Health And Allied Sciences
- MMed(Neurosurgery)(2016) - Central South University
Registration status: REGISTERED AND ALLOWED TO PRACTISE AS A SPECIALIST
NakaziaKwa ulicho soma hapo juu kanisa lina husikaje
Umejitahidi Sana kutuhumu kila kitu nikama unachuki kubwa Sana na selian Hospitali.Hospital ya Selian Arusha(ALMC) ni hatari kwa maisha ya binadamu!
Hospital ya Selian Arusha ALMC Pamoja na Dayosisi ya Arusha Mjini imeingia kwenye kashfa nzito.Kwa muda mrefu Dayosisi hii inayoongozwa na Baba Askofu Masangwa imeshindwa kusimamia miradi mbalimbali ya Dayosisi,miaka kadhaa nyuma ilishindwa kusimamia ikiwepo hotel ya kitalii ya corridor hali iliyopelekea waumini kuchangishwa ili kulipa deni walilokuwa wanadaiwa na CRDB
Kwa sasa matatizo ya Dayosisi hii yamegeuka maumivu na vilio kwa watu wa Arusha na Tanzania kwa ujumla.Lengo la andiko hili ni kutoa tahadhari kwa watu wote kuhusu Hospitali ya Selian(ALMC).Kutokana na maswala ya ukabila na kutojitambua hospital hii chini ya Mkurugenzi wake Bwana Elisha Twisa ambaye aliteuliwa baaada ya Dr Kisanga ambaye alikuwa ameandaliwa muda mrefu kufanyiwa fitina na kuondolewa kienyeji,Bwana Elisha Twisa ameajiri Dr wa operesheni wa mishipa(Neurosurgeon) ambae hana utalaam huo wa kufanya operesheni,tangu January mwaka 2022 wagonjwa watatu waliofikishwa hospitalini hapa wamefariki Dunia kutokana na uzembe wa Dr huyu anayeitwa Dr Juma Magogo
Dr Juma Magogo aliajiriwa kutoka hospital ya Taifa ya Muhimbili ambako hadi leo hajaacha kazi.Aliomba likizo ya miezi mitatu ambayo imeisha.Akiwa muhimbili hakuwahi kuruhusiwa kufanya operesheni kwa kuwa elimu yake aliyoipata huko China imetiliwa mashaka makubwa.Alienda China kusomea na katika mazingira ya ajabu akarudi na vyeti vya super specialist wakati hajafanya general surgery hii ilitia mashaka wataalamu wa Muhimbili,lakini katika hali ya kustaajabisha Bwana Elisha Twisa Mkurugenzi wa Selian akiwa amejulishwa na Muhimbili kuwa huyu Dr Juma Magogo hajakidhi vigezo bado aliamua kumuajiri bila hata kufuata taratibu za ajira.
Dr Juma Magogo alisoma chuo cha Xiangya China mwaka 2013 ambako alitunukiwa kuwa Super Specialist wakati hakuwahi kuwa general surgeon,andiko lake pekee 1. Surviving the largest atypical parasagittal meningioma in a two-year-old child: a case report and a brief review of the literature; DOI: Redirecting, 3. Surviving penetrating brainstem injury by bamboo sticks; Rare cas
Matokeo ya uamuzi wa ovyo wa CEO wa Selian ni kupoteza maisha ya watu watatu kwa uzembe! Itakumbukwa kuwa CEO aliyekuwepo Dr Kisanga aliondolewa kwa hila na sababu za Ukabila.Ni wazi kuwa ALMC ni hatari kwa maisha ya binadamu kutokana na uzembe wa CEO Mpya Bwana Elisha Twisa
Natoa wito
1.Serikali kuanza uchunguzi mara moja wa uendeshaji wa Selian (ALMC) ili iokoe maisha ya watu,Wizara ya afya chukueni hatua
2.Baraza la Madaktari Tanzania(MCT) limchunguze Dr Omary
3.Takukuru chunguzeni kuhusu namna MCT walivompa leseni Dr Omari ambaye hana vigezo
4.Takukuru ichunguze Dayosisi jinsi ilivomwajiri CEO ambaye amegharimu maisha ya watu
5.Huduma za afya ambazo Selian inazitoa zichunguzwe na Wizara kama zinakidhi vigezo
6.Serikali na vyombo husika vichunguze uhalali wa Likizo ambayo mtumishi tayari ameshaajiriwa Sekta binafsi lakini bado anaendelea kulipwa na Serikali
Watanzania wengi sana Ni mabingwa wa USHABIKI.Watu humu JF ni matahila Sana, yaani mtu akileta Jambo fulani ambalo kwa maslai ya Taifa, mnamuita mfitini,
Yaani mfano Mimi nna Jambo zito kwenye taasisi moja ya Nchi juu ya mtu fulani, lakini kamwe siwezi kulileta humu kwa matahila , yaani humu hata ukileta habari juu ya uzembe wa mtu fulani wa nafasi fulani, mizezeta itakuambia majungu tu hayo!
Hospital ya Selian Arusha(ALMC) ni hatari kwa maisha ya binadamu!
Hospital ya Selian Arusha ALMC Pamoja na Dayosisi ya Arusha Mjini imeingia kwenye kashfa nzito.Kwa muda mrefu Dayosisi hii inayoongozwa na Baba Askofu Masangwa imeshindwa kusimamia miradi mbalimbali ya Dayosisi,miaka kadhaa nyuma ilishindwa kusimamia ikiwepo hotel ya kitalii ya corridor hali iliyopelekea waumini kuchangishwa ili kulipa deni walilokuwa wanadaiwa na CRDB
Kwa sasa matatizo ya Dayosisi hii yamegeuka maumivu na vilio kwa watu wa Arusha na Tanzania kwa ujumla.Lengo la andiko hili ni kutoa tahadhari kwa watu wote kuhusu Hospitali ya Selian(ALMC).Kutokana na maswala ya ukabila na kutojitambua hospital hii chini ya Mkurugenzi wake Bwana Elisha Twisa ambaye aliteuliwa baaada ya Dr Kisanga ambaye alikuwa ameandaliwa muda mrefu kufanyiwa fitina na kuondolewa kienyeji,Bwana Elisha Twisa ameajiri Dr wa operesheni wa mishipa(Neurosurgeon) ambae hana utalaam huo wa kufanya operesheni,tangu January mwaka 2022 wagonjwa watatu waliofikishwa hospitalini hapa wamefariki Dunia kutokana na uzembe wa Dr huyu anayeitwa Dr Juma Magogo
Dr Juma Magogo aliajiriwa kutoka hospital ya Taifa ya Muhimbili ambako hadi leo hajaacha kazi.Aliomba likizo ya miezi mitatu ambayo imeisha.Akiwa muhimbili hakuwahi kuruhusiwa kufanya operesheni kwa kuwa elimu yake aliyoipata huko China imetiliwa mashaka makubwa.Alienda China kusomea na katika mazingira ya ajabu akarudi na vyeti vya super specialist wakati hajafanya general surgery hii ilitia mashaka wataalamu wa Muhimbili,lakini katika hali ya kustaajabisha Bwana Elisha Twisa Mkurugenzi wa Selian akiwa amejulishwa na Muhimbili kuwa huyu Dr Juma Magogo hajakidhi vigezo bado aliamua kumuajiri bila hata kufuata taratibu za ajira.
Dr Juma Magogo alisoma chuo cha Xiangya China mwaka 2013 ambako alitunukiwa kuwa Super Specialist wakati hakuwahi kuwa general surgeon,andiko lake pekee 1. Surviving the largest atypical parasagittal meningioma in a two-year-old child: a case report and a brief review of the literature; DOI: Redirecting, 3. Surviving penetrating brainstem injury by bamboo sticks; Rare cas
Matokeo ya uamuzi wa ovyo wa CEO wa Selian ni kupoteza maisha ya watu watatu kwa uzembe! Itakumbukwa kuwa CEO aliyekuwepo Dr Kisanga aliondolewa kwa hila na sababu za Ukabila.Ni wazi kuwa ALMC ni hatari kwa maisha ya binadamu kutokana na uzembe wa CEO Mpya Bwana Elisha Twisa
Natoa wito
1.Serikali kuanza uchunguzi mara moja wa uendeshaji wa Selian (ALMC) ili iokoe maisha ya watu,Wizara ya afya chukueni hatua
2.Baraza la Madaktari Tanzania(MCT) limchunguze Dr Omary
3.Takukuru chunguzeni kuhusu namna MCT walivompa leseni Dr Omari ambaye hana vigezo
4.Takukuru ichunguze Dayosisi jinsi ilivomwajiri CEO ambaye amegharimu maisha ya watu
5.Huduma za afya ambazo Selian inazitoa zichunguzwe na Wizara kama zinakidhi vigezo
6.Serikali na vyombo husika vichunguze uhalali wa Likizo ambayo mtumishi tayari ameshaajiriwa Sekta binafsi lakini bado anaendelea kulipwa na Serikali
Hatari saana
Hizi hospitali zetu za wagalatia siku hizi sijui zikoje? Angalau za ndugu zetu upande mwingine kama Aga Khan.Hospital ya Selian Arusha(ALMC) ni hatari kwa maisha ya binadamu!

kilaaaa kituuuuu sikutoa hata sent 5NHIF wanalipia chakula?