Baraza la Madaktari Tanzania(MCT) limchunguze Dr Omary wa Hospitali ya Selian Arusha ALMC

Baraza la Madaktari Tanzania(MCT) limchunguze Dr Omary wa Hospitali ya Selian Arusha ALMC

Hivi ALMC ni Seliani?
mbali na maswala ya Dr Magogo, naona mleta mada umemtaja sana Mr CEO na inaonekana wazi una chuki binafsi na Twisa, kwa taarifa yako tu kwanzia Twisa ashike usukani, mambo mengi yamebadilika sana tofauti hata na kipindi cha nyuma.

halafu kuna watu wanajiona miungu watu kana kwamba wao wasipokuwepo jambo fulani haliwezi kufanyia, kwa taarifa yenu tu, tunapoelekea ni pazuri zaidi kuliko tulipotoka. Mr CEO fanya kazi ndugu hizi kelele za mafisadi na wezi zisikupe shida, chapa kazi

Muhimu: mwombe MUNGU sana tena sana
 
Msiwe mnabeza taarifa ni bora kufannyiwa uchunguzi hata wa kimya kimya kuliko kupuuzia maana hii ni kitu sensitive ni suala la uhai wa watu. Iwe ukweli au uongo hii taarifa ifanyiwe deep investigation.
 
Hilo lihospitali Lina gharama utadhani South Africa,
Ni wazembe kupindukia hasa jioni
Seliani no at all, Mara nne wameniagusha
 
Hii Habari mbona kama ina kama kuchafuana fulani… mara Dr Omary mara Dr Juma. Mara Mkurugenzi mara Kanisa. Kuhusu udaktari muongozo wa MCT uko wazi kuhusu Harmonization [emoji1427][emoji362]; shida iko wapi ?
b08eec54-dd29-4b58-a6d4-4857d7e75d8f.jpg
 
Hii Habari mbona kama ina kama kuchafuana fulani… mara Dr Omary mara Dr Juma. Mara Mkurugenzi mara Kanisa. Kuhusu udaktari muongozo wa MCT uko wazi kuhusu Harmonization [emoji1427][emoji362]; shida iko wapi ? View attachment 2181752
Mkuu naomba hii document tafadhali.
Otherwise Mods wanatakiwa kuwa serious na uzi zenye shutuma nzito kama hii ya vifo kwa kutaja majina ya watu bila kuwa na ushahidi. Mwaka juzi kuna madogo wa Internship kule Mbeya wali weka list ya Madaktari Eti wana lazimishwa kutoa Uroda. 🤣🤣
Ila baada JF ilifuta majina ya watuhumiwa,Pamoja na uchunguzi wa TAKUKURU hakuna ushahidi. Nyie Mods Kuweni makini bhana, Huu uzi jamaa wa ALMC mngeweza ku'edit maelezo yake bila kuwa na Majina ya Watuhumiwa.
 
Mkuu naomba hii document tafadhali.
Otherwise Mods wanatakiwa kuwa serious na uzi zenye shutuma nzito kama hii ya vifo kwa kutaja majina ya watu bila kuwa na ushahidi. Mwaka juzi kuna madogo wa Internship kule Mbeya wali weka list ya Madaktari Eti wana lazimishwa kutoa Uroda. [emoji1787][emoji1787]
Ila baada JF ilifuta majina ya watuhumiwa,Pamoja na uchunguzi wa TAKUKURU hakuna ushahidi. Nyie Mods Kuweni makini bhana, Huu uzi jamaa wa ALMC mngeweza ku'edit maelezo yake bila kuwa na Majina ya Watuhumiwa.

View attachment Harmonization of qualification doument.docx
Hiyo hapo Mkuu… mwisho wa figisu figisu
 
Back
Top Bottom