EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Kwa Sasa waziri kiongozi wa Zanzibar anaitwa nani?Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi ni kati ya majina/sifa za rais wa Zanzibar, mengine yaweza kuwa mkuu wa serikali na amiri jeshi mkuu wa vikosi maalum (rejea marekebisho ya katiba ya Zanzibar ya 2010)
Baraza la mapinduzi kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ni sawa na baraza la mawaziri, huundwa na:
- Rais ambaye ni mwenyekiti wake
- Makamo wa kwanza na wapili wa rais
- Mawaziri na manaibu
- Mwanasheria mkuu wa Zanzibar (exofficial member)
- Katibu mkuu kiongozi ambaye pia ni katibu wa baraza la mapinduzi
Kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar baraza la mapinduzi ndio chombo kikuu cha kumshauri rais wa Zanzibar.
Maalim naye yumo barazani.
Hakuna waziri kiongozi Zanzibar, kuna makamo wa uraisKwa Sasa waziri kiongozi wa Zanzibar anaitwa nani?
Hiko cheo kilishafutwa baada ya kuanzisha SUKI!Kwa Sasa waziri kiongozi wa Zanzibar anaitwa nani?
Kuna katibu wao ambaye anaitwa katibu mkuu kiogozi anateuliwa na rais kwa sasa ni mwanamama aliwahi huwa hapa bongo ikulu ya magogoni na baadae wizara ya nishati nimemsahau jina ila msambwanda sijausahauHuko cheo kilishafutwa baada ya kuanzisha SUKI!
Katibu kiongozi na waziri kiongozi ni vitu viwili tofauti. Waziri kiongozi alikuwa sawa na waziri mkuu kwa serikali ya muungano.Kuna katibu wao ambaye anaitwa katibu mkuu kiogozi anateuliwa na rais kwa sasa ni mwanamama aliwahi huwa hapa bongo ikulu ya magogoni na baadae wizara ya nishati nimemsahau jina ila msambwanda sijausahau
Sasa nani kasema waziri kiongozi .unamatatizo wewe .Katibu kiongozi na waziri kiongozi ni vitu viwili tofauti. Waziri kiongozi alikuwa sawa na waziri mkuu kwa serikali ya muungano.
Wewe ndio una matatizo, kwa nini uli-quote bandiko langu? Ulijua nilichokuwa namjibu aliyeuliza jina la waziri kiongozi? Msiwe mnadandia mabandiko ya watu na ku-quote bila kuelewa mukthadha wa bandiko lenyewe! Una shida kichwani kwako!Sasa nani kasema waziri kiongozi .unamatatizo wewe .
Kwanini umepigia mstari kwa Maalim Seif.Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi ni kati ya majina/sifa za rais wa Zanzibar, mengine yaweza kuwa mkuu wa serikali na amiri jeshi mkuu wa vikosi maalum (rejea marekebisho ya katiba ya Zanzibar ya 2010)
Baraza la mapinduzi kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ni sawa na baraza la mawaziri, huundwa na:
- Rais ambaye ni mwenyekiti wake
- Makamo wa kwanza na wapili wa rais
- Mawaziri na manaibu
- Mwanasheria mkuu wa Zanzibar (exofficial member)
- Katibu mkuu kiongozi ambaye pia ni katibu wa baraza la mapinduzi
Kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar baraza la mapinduzi ndio chombo kikuu cha kumshauri rais wa Zanzibar.
Maalim naye yumo barazani.
Cheo cha waziri kiongozi kimefutwa na kiko substituted na cheo kipya cha makamo wa pili wa RaisKwa Sasa waziri kiongozi wa Zanzibar anaitwa nani?
Maalim jabali la kisiasa Zanzibar ni vigumu kuiongelea Zanzibar bila kumtaja huyu mzee kwa vyevyote vile uzuri au ubayaKwanini umepigia mstari kwa Maalim Seif.
Mkuu mawaziri wa huko hawaingii kwenye hilo baraza la mapinduzi?Baraza la mapinduzi kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ni sawa na baraza la mawaziri, huundwa na:
- Rais ambaye ni mwenyekiti wake
- Makamo wa kwanza na wapili wa rais
- Mawaziri na manaibu
- Mwanasheria mkuu wa Zanzibar (exofficial member)
- Katibu mkuu kiongozi ambaye pia ni katibu wa baraza la mapinduzi
Nijuavyo Rais ana vyeo vingi kulingana na matukioa anayo-adressMwenyekiti wa baraza la mapinduzi ni kati ya majina/sifa za rais wa Zanzibar, mengine yaweza kuwa mkuu wa serikali na amiri jeshi mkuu wa vikosi maalum (rejea marekebisho ya katiba ya Zanzibar ya 2010)
Baraza la mapinduzi kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ni sawa na baraza la mawaziri, huundwa na:
- Rais ambaye ni mwenyekiti wake
- Makamo wa kwanza na wapili wa rais
- Mawaziri na manaibu
- Mwanasheria mkuu wa Zanzibar (exofficial member)
- Katibu mkuu kiongozi ambaye pia ni katibu wa baraza la mapinduzi
Kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar baraza la mapinduzi ndio chombo kikuu cha kumshauri rais wa Zanzibar.
Maalim naye yumo barazani.
Nijuavyo Rais ana vyeo vingi kulingana na matukioa anayo-adressMwenyekiti wa baraza la mapinduzi ni kati ya majina/sifa za rais wa Zanzibar, mengine yaweza kuwa mkuu wa serikali na amiri jeshi mkuu wa vikosi maalum (rejea marekebisho ya katiba ya Zanzibar ya 2010)
Baraza la mapinduzi kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ni sawa na baraza la mawaziri, huundwa na:
- Rais ambaye ni mwenyekiti wake
- Makamo wa kwanza na wapili wa rais
- Mawaziri na manaibu
- Mwanasheria mkuu wa Zanzibar (exofficial member)
- Katibu mkuu kiongozi ambaye pia ni katibu wa baraza la mapinduzi
Kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar baraza la mapinduzi ndio chombo kikuu cha kumshauri rais wa Zanzibar.
Maalim naye yumo barazani.
So Makamo wa Pili wa Rais ni Mtendaji Mkuu wa Serikali?? kama alivyokuwa Shamsi Vuai Nahodha?Cheo cha waziri kiongozi kimefutwa na kiko substituted na cheo kipya cha makamo wa pili wa Rais
Kumuundo na kimajukumu