GeoMex
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 5,431
- 19,913
Ndio kama ilivyokua kwa Shamsi ikawa hivyo kwa Balozi Seif Ali Iddi baada yakeSo Makamo wa Pili wa Rais ni Mtendaji Mkuu wa Serikali?? kama alivyokuwa Shamsi Vuai Nahodha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kama ilivyokua kwa Shamsi ikawa hivyo kwa Balozi Seif Ali Iddi baada yakeSo Makamo wa Pili wa Rais ni Mtendaji Mkuu wa Serikali?? kama alivyokuwa Shamsi Vuai Nahodha?
SahihiSo Makamo wa Pili wa Rais ni Mtendaji Mkuu wa Serikali?? kama alivyokuwa Shamsi Vuai Nahodha?
Maalim kawauza wenzake!!Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi ni kati ya majina/sifa za rais wa Zanzibar, mengine yaweza kuwa mkuu wa serikali na amiri jeshi mkuu wa vikosi maalum (rejea marekebisho ya katiba ya Zanzibar ya 2010)
Baraza la mapinduzi kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ni sawa na baraza la mawaziri, huundwa na:
- Rais ambaye ni mwenyekiti wake
- Makamo wa kwanza na wapili wa rais
- Mawaziri na manaibu
- Mwanasheria mkuu wa Zanzibar (exofficial member)
- Katibu mkuu kiongozi ambaye pia ni katibu wa baraza la mapinduzi
Kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar baraza la mapinduzi ndio chombo kikuu cha kumshauri rais wa Zanzibar.
Maalim naye yumo barazani.
Huo ni muono wakoMaalim kawauza wenzake!!
Maalim yumo. Alikubali poMwenyekiti wa baraza la mapinduzi ni kati ya majina/sifa za rais wa Zanzibar, mengine yaweza kuwa mkuu wa serikali na amiri jeshi mkuu wa vikosi maalum (rejea marekebisho ya katiba ya Zanzibar ya 2010)
Baraza la mapinduzi kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ni sawa na baraza la mawaziri, huundwa na:
- Rais ambaye ni mwenyekiti wake
- Makamo wa kwanza na wapili wa rais
- Mawaziri na manaibu
- Mwanasheria mkuu wa Zanzibar (exofficial member)
- Katibu mkuu kiongozi ambaye pia ni katibu wa baraza la mapinduzi
Kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar baraza la mapinduzi ndio chombo kikuu cha kumshauri rais wa Zanzibar.
Maalim naye yumo barazani.
Kwa Zanzibar when you Address the President its a mustNijuavyo Rais ana vyeo vingi kulingana na matukioa anayo-adress
Amiri jeshi mkuu wakati anashughulikia mambo ya kijeshi.
Mwenyekiti wa chama anaposhughulika na vikao au mambo ya kichama.
sasa kama Baraza la mapinduzi ni kama Baraza la Mawaziri kama unavyosema kuna ulazima gani kumvalisha vyeo vyote kwa mpigo wakati wote. Kwani Rais wa Jamhuri sio Mwenyekiti wa Vikao vya Baraza la Mawaziri??.
NB: sina uhakika kama Naibu Mawaziri wanahudhuria vikao vya Baraza la Mawaziri.
Kwa Zanzibar when you Address the President its a must
Naona nchi nyingi za kimapinduzi iko hivyo
Cuba enzi za Castro
Iran ya Ayatola
Uganda ya Amin
Cuba ya Gadafi
Manaibu waziri hawaingii kwenye vikao vya wawakilishi na baraza la mawaziri...instead makatibu wakuu wa wizara wanaingia .Nijuavyo Rais ana vyeo vingi kulingana na matukioa anayo-adress
Amiri jeshi mkuu wakati anashughulikia mambo ya kijeshi.
Mwenyekiti wa chama anaposhughulika na vikao au mambo ya kichama.
sasa kama Baraza la mapinduzi ni kama Baraza la Mawaziri kama unavyosema kuna ulazima gani kumvalisha vyeo vyote kwa mpigo wakati wote. Kwani Rais wa Jamhuri sio Mwenyekiti wa Vikao vya Baraza la Mawaziri??.
NB: sina uhakika kama Naibu Mawaziri wanahudhuria vikao vya Baraza la Mawaziri.
Hahahaha Umetengeneza siku yangu leo, yaani unakumbuka msambwanda? haya siku njema.Kuna katibu wao ambaye anaitwa katibu mkuu kiogozi anateuliwa na rais kwa sasa ni mwanamama aliwahi huwa hapa bongo ikulu ya magogoni na baadae wizara ya nishati nimemsahau jina ila msambwanda sijausahau
Kwa mjibu wa katiba mpya ya Zanzibar haina waziri kiongozi shughuri zote za kiongozi huyo zinafanywa na makamu wa pili wa raisKwa Sasa waziri kiongozi wa Zanzibar anaitwa nani?
Kwa sasa cheo hiko kinatambulika kama makamu wa pili wa raisiKwa Sasa waziri kiongozi wa Zanzibar anaitwa nani?
Maalim katumika kubariki dhurma!!Huo ni muono wako
Kuna wanaosema wananchi ndo wamemuuza maalim