Baraza la Mapinduzi ambalo Rais wa Zanzibar ni Mwenyekiti wake linaundwa na watu gani?

Bataza la mapinduzi ndo jao mawaziri wa serikali hiyo
 
Maalim kawauza wenzake!!
 
Maalim yumo. Alikubali po
 
Kwa Zanzibar when you Address the President its a must
Naona nchi nyingi za kimapinduzi iko hivyo
Cuba enzi za Castro
Iran ya Ayatola
Uganda ya Amin
 
Manaibu waziri hawaingii kwenye vikao vya wawakilishi na baraza la mawaziri...instead makatibu wakuu wa wizara wanaingia .
 
Kuna katibu wao ambaye anaitwa katibu mkuu kiogozi anateuliwa na rais kwa sasa ni mwanamama aliwahi huwa hapa bongo ikulu ya magogoni na baadae wizara ya nishati nimemsahau jina ila msambwanda sijausahau
Hahahaha Umetengeneza siku yangu leo, yaani unakumbuka msambwanda? haya siku njema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…