Baraza la Mawaziri 2020 Halina Ukanda, Udini wala Ukabila!

Kwandikwa -shinyanga
Katambi -shinyanga
Biteko- shinyanga
Mashimba- simiyu
Kalemani -Geita
Mabula-Mwanza
Bashungwa- kagera
Waitara-Mara

Kwanini umechagua wa upande huo tu kutaja?
Haujaona mawaziri wengine? Haya Malizia hao ulioacha
 
Kigwa ali loose focus, muda wote anachati twitter, sasa aende awe anakesha huko twitter tunataka mtu ambaye atakuwa focussed na kazi yake.
Kitendo hicho hicho mimi naona kama ndiyo kilichomgharimu urais ndugu yetu kule Taifa kubwa duniani. Alikuwa anatweet utafikirui ni mimi
 
Na wote wanaozungumzia hoja ya "ukanda na ukabila" ni wale wanaounga mkono hoja ya UKANDA kama njia ya utawala kama inavyopigiwa debe na CHADEMA na Lissu wao! Mtego huo wa kitoto haumnasi mtu mzima na akili zake. Hakuna sheria wala kanuni wala taratibu zinazoongoza uundaji wa Cabinet. Kigezo kikubwa ni uwezo wa utendaji wa mteule, ukiendana na weledi na uzalendo wake PERIOD, mengine ni uchochezi tu!
 
you miss a point dude, " CHADEMA" inataka utawala wa majimbo na si ukanda kama wewe akili zako matope unavyodhani, MAJIMBO nchi za wenzetu imewaletea maendeleo lakini UKABILA umeleta sjhida kwenye CCM.

Usitake kujificha kwenye ukanda na ukabila kuizodoa CHADEMA badala ya CCM iliyoongoza toka uhuru na hakuna kitu imefanya zaifi yakumfanya mtanzania kuwa maskini zaidi
 
Kwanini msiteue waislamu wote?
 
Ulinzi na JKT ndio nini?! Nilidhani JWTZ na JKT wote ni wana majukumu sawa yani ulinzi, ikiwa siyo hawa JKT budget yao hutoa wapi na majukumu yao ni yapi katika taifa hili?!

Naona hawa JKT wamegeuzwa walinzi wa magetini ofisi za umma, je kwanini wasingekuwa wizara ya mambo ya ndani?!
 
Sawasawa hata suala la kuwepo mzanzibar ndani ya baraza la mawaziri si muhimu sana
 
Sawasawa hata suala la kuwepo mzanzibar ndani ya baraza la mawaziri si muhimu sana
walikuwako wengi akina Mwinyi, Sheir, SEif na wengine na hatujaona mabadiliko, by the way, AFrica ni moja, mambo ya Uzanzibara na uzanzibari
 
Wizara 23 tuu sio kila mtanzania anaweza kuwa waziri.
Kuna mambo mengine mengi tunaweza kufanya na yakaletea nchi maendeleo na heshma kubwa sana

Mungu ibariki Tanzania
Kwa mfano Kigwangala amekuwa Waziri miaka mingi utalii, akienda kuwekeza kwenye utalii kwa vile ni mzoefu si safi kabisa. Au unasemaje mama lao mama D
 
Kwa mfano Kigwangala amekuwa Waziri miaka mingi utalii, akienda kuwekeza kwenye utalii kwa vile ni mzoefu si safi kabisa. Au unasemaje mama lao mama D
Iko sawa kabisa mkuu, na alipata kiinua mgongo, bado ana mshahara wa ubunge hakosi mtaji wa kufanya uwekezaji wenye faida👍
 
Kwa mfano Kigwangala amekuwa Waziri miaka mingi utalii, akienda kuwekeza kwenye utalii kwa vile ni mzoefu si safi kabisa. Au unasemaje mama lao mama D
Kukosa uwaziri si bado ni mbunge na daktari pia?
Kigwa ana mambo mengi ya kufanya, sema tu MO ndio kisha apa hatamkopesha pikipiki za kwenda kuhonga wanyonge
 
Unsatisfactory analysis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…