Baraza la Mawaziri 2020 Halina Ukanda, Udini wala Ukabila!

Baraza la Mawaziri 2020 Halina Ukanda, Udini wala Ukabila!

Kulikuwa na mawazir watatu but walikuwa wanalitumikia taifa syo mkoa, kaangalie kgm Kama Kuna fly over ndo useme ukanda unaimpact au n porojo tu.
Kwani hao kanda ya ziwa sio Watanzania?

Kipindi kile Kigoma ilikuwa na Mawaziri 3 hakuna aliyehoji....
 
Kuna tathmini ya kawaida sana katika Baraza jipya!!

Wanawake 4
Wanaume 19...
ila kuna ka-ukweli nakupongeza kwa research uliyofanya, japo sitii neno.

au kanda ya ziwa ndiyo Tanzania mpya tunayoambiwa kila uchao?
 
Mh Magufuli kateua baraza la mwaziri, 05-12-2020 mida ya jioni kama alivyotabiri kigogo2014 lakini watu wamelipa kisogo na habari za simba na Plateau zimevuma kuliko Baraza Lenyewe...
Je kanda ya Kati wangapi Singida, Dodoma , marogoro ?

Halafu kanda ya Kusini lindi Mtwara, Hala nyanda za Juu kusini iringa, njombe Ruvuma,

Halafu kanda ya Kaskazini Arusha, Tanga, Kilimanjaro na Manyara
 
Population ya kanda ya ziwa ni asilimia ngapi ya population nzima?
 
Kuwa na mawaziri, kunakuongezea nini katika jimbo lako..Mfano barabara za rami na umeme unaosambazwa vijijini..je unafika kwenye vijiji vyenyewaziri tu?

Unaweza kuwa na waziri na wala msipate msaada wa maanaa..Mfano Jimbo la chato licha ya kuwa na waziri wa Nishati..vijiji vyake havina umeme wa REA unaowaka licha yakuweka nyaya na nguzo.

Je kanda ya Kati wangapi Singida, Dodoma , marogoro ?
Halafu kanda ya Kusini lindi Mtwara, Hala nyanda za Juu kusini iringa, njombe Ruvuma,
Halafu kanda ya Kaskazini Arusha, Tanga, Kilimanjaro na Manyara
 
Kulikuwa na mawazir watatu but walikuwa wanalitumikia taifa syo mkoa, , kaangalie kgm Kama Kuna fly over ndo useme ukanda unaimpact au n porojo tu
Hapo kuna kaukweli kasikoweza bishaniwa, Rais jamani hajakosea aliyenyimwa anyamaze
huku Makao Makuu sijamuona Antony Mavunde ila jirani yake Deo Ndejembi na bado kila kitu kinahamishiwa Jiji ambalo halina Waziri kwa hiyo nimepumua na haswa Kigwangwala kuukosa Uwaziri
 
Viongozi wapatikane kwa sifa za msingi kama kiwango cha elimu, uzoefu, uwezo kwenye kazi husika, uzalendo kwa nchi, uadilifu, upenzi na utiifu kwa kiongozi wa juu 'Raisi', na nk.

Na sio kwa vigezo vya dini yake, kabila lake, na nk.

Akija kuwa raisi muislam na kuweka 50% waislamu kwenye Serikali msimamo uendelee kuwa huu huu siyo mnaanza kusema huyu Mjahidina kajaza Wajihidina tu kwenye Serikali.

Tena tunavyowajua wakristo msivyo wavumilivu yaani waislamu wakiwa 30% kwenye serikali nchi itawaka moto,nyaraka za kitume zitatoka kila jumapili.
 
Mimi naona hao kanda ya ziwa ndio wamesoma sana na CV zao zinawabeba na hata ukiangalia matokeo yao shue za huko zinafaulisha sana, wanastahili.
Hivi unaweza mpa BABU TALE uwaziri?
Kulikua na wagombea wengi wasomi, kwani kulikua na ulazima wa kpitisha jina la babu tale kugombea ubunge?

Nadhani hii sheria ya kusema mbunge awe anajua kusoma na kuandika ifutiliwe mbali ili kuwe na usawa au ueiano wa viwango vya elimu baina ya wagombea, sasa imagine PhD holder analipwa mshahara sawa na la saba b, kisa wote ni wabunge, atlist wangesema sifa ya kugombea kiwango cha elimu kisiwe chini ya degree

Anyway, ngoja tuamini kwamba kanda ya ziwa ndio wana elimu kubwa na CV nzuri, na pia tuamini kwamba cv zao na elimu yao itaifikisha nchi sehemu nzuri by 2025[emoji41]
 
Mikoa ipo 30, sasa sijui hawa watu walitaka kila mkoa atoke waziri hata kama hana sifa anazozitaka mwenye kuteua. Tulizoea kupeana tu vyeo hata kama mtu hana sifa ilimradi ionekana kuna kubalance maeneo. Hapo sasa ndipo tulikuwa tunajaza wale jamaa waliokuwa wakieleza makongamano ya kimataifa " Tanzania ni muungano wa nchi mbili Tanganyika na Zimbabwe uliofanyika mwaka one thousand nineteen sixty four.

Ni kweli kabisa tunahitaji wachapakazi hata ikiwa wote watatoka Kigoma sawa tu. Nani atapinga kazi ya Mpango na Ndalichako au Kabudi?

Hapo kwa Kabudi umetuingiza chaka anakazigani huyo landa kufoka na kutoa macho kama nayo ni kazi
 
Hapo kwa Kabudi umetuingiza chaka anakazigani huyo landa kufoka na kutoa macho kama nayo ni kazi
🤣🤣🤣
Suala la macho hilo la kwako. Ila huyu jamaa ni Waziri bora kabisa wa masuala ya nje kuwahi kutokea nchini pamoja na Ben Mkapa na JM Kikwete.
 
Back
Top Bottom