Baraza la Mawaziri 2020 Halina Ukanda, Udini wala Ukabila!

Baraza la Mawaziri 2020 Halina Ukanda, Udini wala Ukabila!

Mie Kyusa, kwa muda mrefu hatujawahi kukosa uwakilishi toka kanda ya myanda za juu, hasa Njombe, Songea, Iringa na Mbeya.
Kanda hii ya The Big Four, breadbasket ya Tanzania in umuhimu wake.
ni zamu ya KANDA YA MILK
 
Kuna tathmini ya kawaida sana katika Baraza jipya!!

Wanawake 4
Wanaume 19...
Usikonde, ameteua wanawake wengi wa viti maalum kina Halima Mdee na wenzake 18. Na bado kuna nafasi za ukuu wa wilaya zinakuja, sio lazima wote wawe mawaziri.

Mitano mingine.
 
Mleta mada umekuja na porojo, uliyoleta wenzio wamekuja na data, wewe nawe kanusha kwa data, LA sivyo, watakuelewa wale uliowaacha vijijini kule.
 
Mh Magufuli kateua baraza la mwaziri, 05-12-2020 mida ya jioni kama alivyotabiri kigogo2014 lakini watu wamelipa kisogo na habari za simba na Plateau zimevuma kuliko Baraza Lenyewe...
Zaidi mawaziri 11 wanatoka kanda ya Ziwa waliobaki ndiyo kanda zingine
 
Quote aliyesema kimei kanyimwa uwaziri.
Afterall kimei sjui nini kimemuingiza ktk siasa, unapewa uwaziri unatukanwa mkeo na watoto wanakuonaje, watakuona poyoyo tu
Kimei ni mchezaji wa akiba yupo Benchi anasibiria waziri wa fedha au Naibu wake wayumbe ama kuharibu ndipo anazawadiwa uwaziri azeeke nao na kingine kinachomkwamisha kimei ni ufuska ni mpenda michepuko kupitiliza report ya TISS itakuwa imemvunja moyo magufuli akaamua kumweka benchi kwanza
 
Kigwa ali loose focus,,mda wote anachati twitter,,sasa aende awe anakesha huko twitter,,tunataka mtu ambaye atakuwa focussed na kazi yake..
MO alimsomea Albadiri kubwa ndiyo maana kabwagwa
 
Usikonde, ameteua wanawake wengi wa viti maalum kina Halima Mdee na wenzake 18. Na bado kuna nafasi za ukuu wa wilaya zinakuja, sio lazima wote wawe mawaziri.

Mitano mingine.
Makonda atakuwa mkuu wa wakuu wa mikoa wote ni cheo kipiya wanakiunda
 
Mie Kyusa, kwa muda mrefu hatujawahi kukosa uwakilishi toka kanda ya myanda za juu, hasa Njombe, Songea, Iringa na Mbeya.
Kanda hii ya The Big Four, breadbasket ya Tanzania in umuhimu wake.
Acha uzushi.
Lukuvi, Jenister, Ndumbaro, silinde,
 
Mh Magufuli kateua baraza la mwaziri, 05-12-2020 mida ya jioni kama alivyotabiri kigogo2014 lakini watu wamelipa kisogo na habari za simba na Plateau zimevuma kuliko Baraza Lenyewe...
Wakati naendelea kusoma uzi wako nikawasijafika mwisho natamani kukujibu kuwa mbona Kanda ya Ziwa naona wengi......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom