Baraza la Mawaziri 2020 Halina Ukanda, Udini wala Ukabila!

Baraza la Mawaziri 2020 Halina Ukanda, Udini wala Ukabila!

Mh Magufuli kateua baraza la mwaziri, 05-12-2020 mida ya jioni kama alivyotabiri kigogo2014 lakini watu wamelipa kisogo na habari za simba na Plateau zimevuma kuliko Baraza Lenyewe...
Ukabila na ukanda kwa mara nyingine tena jiwe amefeli ukabila, hili ni tatizo kubwa mno!
 
Kuna tathmini ya kawaida sana katika Baraza jipya!!

Wanawake 4
Wanaume 19...
Polepole tutafika... midhali hakuna gunzi kwenye tochi tuna uhakika wa kuona mwanga ukimulika vilivyo.
 
Kuna wizara za muungano wewe kilaza mmoja
Mimi ni Learned brother/counsel na wewe ni "lay person" ama kwa wakatoliki wanaita "walei" yaani poyoyo! sasa nitake radhi, najua nlichoandika hapa, narudia kusema JPM kafuata kanuni na sheria kuunda baraza, badala mjadili cv za waeuliwa mnaangalia dini na kanda, haya makabila ni kwaajili ya kutaniana tu na si mambo ya madaraka, ndiyo maana mchaga anamtania mpare tabia yake ya uchoyo na kula ugali kwa picha ya samaki
 
umeona eeh, tukubali tu JPM kaleta baraza lenye sura ya kitaifa, wasio tutakia mema ndio wanasemaet , lina waislamu asilimia 3, mara mchagga mmoja, mara kimei kanyimwa uwaziri wa fedha, yani porojo zisizoisha.
Hata kama,,kwani wanaenda kuswalishwa humo?.
Chapeni kazi banah...
 
Mh Magufuli kateua baraza la mwaziri, 05-12-2020 mida ya jioni kama alivyotabiri kigogo2014 lakini watu wamelipa kisogo na habari za simba na Plateau zimevuma kuliko Baraza Lenyewe....

Mzee wa "usipokuwa na nywila kwenye simu yako tunakufunga" alipigwa chini kwao na sasa ametoswa na huku
 
Hata kama, kwani wanaenda kuswalishwa humo?.
Chapeni kazi banah...
umeona eh, nashangaa sana, mimi kwanza hata dini zao sijui, kingunge mwenyewe alikuwa mpagani sema tu alipokufa WARUMI wakangangania maiti
 
Kigwangala kapewa muda wa kutosha wa kujadili masuala ya simba sports club.
Anadaiwa baiskeli 700 alizokopa kwa Prashan pale mtaa wa Mahiwa Kariakoo, sasa angekopeshwa zile pikipiki na MO sijui ingekuwaje, yaani
 
Back
Top Bottom